The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Curry has never been consistence kwenye competitive playoffs games. Hata mwaka waliochukua ubingwa bila KD utakumbuka Finals MVP hakuwa Curry. Curry ain't playoff material.

Ndiyo sababu ya kumtafuta KD ajoin GSW.
Playoffs defence na hata refereeing ipo kwenye level nyingine kabisa. Ndiyo maana Harden zile ‘and 1’ zake hapati tena.
 
Playoffs defence na hata refereeing ipo kwenye level nyingine kabisa. Ndiyo maana Harden zile ‘and 1’ zake hapati tena.
True, so far, hii series ya GSW vs Houston inaongoza kwa flopping, na kulalamikiwa marefa.
Series ya Portland vs Denver iko poa sana kuhusu nidhamu ya mchezo.
 
Curry has never been consistence kwenye competitive playoffs games. Hata mwaka waliochukua ubingwa bila KD utakumbuka Finals MVP hakuwa Curry. Curry ain't playoff material.

Ndiyo sababu ya kumtafuta KD ajoin GSW.
GsW without KD no rings. Na najua wanajua ukimuacha KD asepe Stephe hana uwezo wa kubeba team.
 
GSW bila ya KD ni kumaanisha hakuna ring yoyote ile.
Karibu ndugu yetu, ulipotelea wapi? Sisi tupo tu kama kawaida...bahati mbaya umerudi na kukuta yule mchawi wa kutungua masafa marefu kaishiwa pumzi. Matokeo Warriors wamelala na kama si KD leo wangekiona cha mtema kuni.
 
Team TOR
Starters
K Lowry G
P Siakam F
K Leonard F
D Green G
M Gasol C

Bench
F VanVleet G
P McCaw G
M Miller F
N Powell F-G
E Moreland F-C
J Meeks G
S Ibaka C-F```

Team PHI
Starters
B Simmons G
J Embiid C
J Butler F
T Harris F
J Redick G

Bench
A Johnson C-F
J Bolden F
B Marjanovic C
T McConnell G
J Simmons F
J Ennis III F
M Scott F
G Monroe C```
 
Team TOR
Starters
K Lowry G
P Siakam F
K Leonard F
D Green G
M Gasol C

Bench
F VanVleet G
P McCaw G
M Miller F
N Powell F-G
E Moreland F-C
J Meeks G
S Ibaka C-F```

Team PHI
Starters
B Simmons G
J Embiid C
J Butler F
T Harris F
J Redick G

Bench
A Johnson C-F
J Bolden F
B Marjanovic C
T McConnell G
J Simmons F
J Ennis III F
M Scott F
G Monroe C```

Happy that Siakam is in, he was doubtful for this game, something that could have given Sixers an advantage.

Hope Kyle comes up to compete. If Toronto wins this, the series will be one to watch.
 
GsW without KD no rings. Na najua wanajua ukimuacha KD asepe Stephe hana uwezo wa kubeba team.
GSW bila ya KD ni kumaanisha hakuna ring yoyote ile.
Do you guys really know who Steph Curry is? I doubt, I really doubt! Well, here goes...

A six-time NBA All-Star, Wardell Stephen Curry II has been named the NBA Most Valuable Player twice and won three NBA championships with the Warriors.

Many players and analysts have called him the greatest shooter in NBA history.

He is credited with revolutionizing the game of basketball by inspiring teams to regularly employ the three-point shot as part of their winning strategy.

Steph Curry alikuwa ni mchezaji wa kwanza katika historia ya NBA kuchaguliwa MVP na wanamichezo pamoja na waandishi wa michezo kwa kupata kura zote zilizopigwa (unanimous) na wakati huo KD hakuwepo.

Steph curry alioongoza Warriors kuvunja rekodi iliyowahi kuwekwa na Chicago Bulls ya Michael Jordan ya 72-10 kwa kushinda michezo 73-9 katika regular season kabla ya ujio wa KD!

Orodha ya mafanikio ya Curry inaweza kujaza kitabu kizima ndugu zangu lakini nitaachia hapo...
 
Do you guys really know who Steph Curry is? I doubt, I really doubt! Well, here goes...

A six-time NBA All-Star, Wardell Stephen Curry II has been named the NBA Most Valuable Player twice and won three NBA championships with the Warriors.

Many players and analysts have called him the greatest shooter in NBA history.

He is credited with revolutionizing the game of basketball by inspiring teams to regularly employ the three-point shot as part of their winning strategy.

Steph Curry alikuwa ni mchezaji wa kwanza katika historia ya NBA kuchaguliwa MVP na wanamichezo pamoja na waandishi wa michezo kwa kupata kura zote zilizopigwa (unanimous) na wakati huo KD hakuwepo.

Steph curry alioongoza Warriors kuvunja rekodi iliyowahi kuwekwa na Chicago Bulls ya Michael Jordan ya 72-10 kwa kushinda michezo 73-9 katika regular season khabla ya ujio wa KD!

Orodha ya mafanikio ya Curry inaweza kujaza kitabu kizima ndugu zangu lakini nitaachia hapo...

Nilijua tu kwamba jamaa wamekuchokoza.

Ngoja nisubiri majibu yao.
 
Toronto so far is playing excellent BB
 
[emoji459] *TOR: Leonard* Shot Made [emoji638]
[emoji679] *PHI* [emoji651] Embiid [emoji652] III
[emoji679] *PHI* [emoji651] Redick [emoji652] Monroe
[emoji777] *PHI: Simmons* Shot Missed
[emoji459] *TOR: Lowry* Shot Made [emoji638]
[emoji777] *PHI: Ennis* Shot Missed
[emoji459] *TOR: Leonard* Shot Made 3
 
Halftime 47-45 Raptors
 
Halftime 47-45 Raptors

Sixers wana dalili za kushinda hii game, nilitegemea kwa jinsi Toronto walivyoanza waweze kutengeneza gape kubwa.

Q3 will probably define the game. Siakam looks like he is below 60% health. Kyle has stepped up a bit.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Agreed 3rd quarter is very crucial for Raptors to take back home advantage otherwise they’ll be in big trouble going home down 1-3

I am routing for Sixers to win this series, but I will be happy for Toronto if they win this game to make the series entertaining.

I hope they do it.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom