Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Q3 is looking like an even quarter.Already Raptors are lagging behind.
Kama unanisema mimi umekosea sana, mimi ni shabiki mkubwa wa michezo na kwa sasa Basketball. Niliwahi kuangalia soka wakati timu ya England ikipambana na Brazil mwaka 1970 (je ulikuwa umezaliwa?) Alikuwepo mchezaji moja wa Brazil anaitwa Pele au mchawi wa soka ila jina lake halisi lilikuwa Edson Arantes do Nascimento, na kweli alikuwa mchawi wa soka. Wakati huo England inao wachezaji hatari kama akina Bobby Moore na golikipa machachari akiitwa Gordon Banks.Jamaa shabiki wa curry namba moja
Ni kweli, games nyingi zinakuwa decided na maamuzi ya referees, ziko fouls zisizohitaji kuwa called na zipo zinazohitaji kuwa called lakini wapi!Hopefully so without the interference of referees.
Sawa, ila kwa sasa ni 84-77 kwa Nuggets!Half Time Blazers 63 Denver 57 Dogo lake curry yuko on fire ile mbaya.
My prediction is on the money, what a game!
Sawa, ila kwa sasa ni 84-77 kwa Nuggets!
Game imesha Blazers 112 Denver 116 series imekuwa tied.