Mbona 76ers wanakuwa uchochoro hivi? Yaani ni kama vile hawajui kilichowaleta uwanjani. Majuzu juzi tu Embiid alikuwa anajaribu kucheza sindimba kwa furaha, leo vipi? Kawhi anawaua jamani...utadhani mechi ya Liverpool na Barcelona 😀😛! Mwisho wa 3rd ni 92-70!
Mwisho wa mchezo 125-89 tofauti ya pts 36, duh!I am not sure Mkuu maybe Playoffs inexperience or they’re just tired.
Mdudu gani kaingia NBA, vituko vinaendelea...naona Nuggets nao wameamua liwalo na liwe, hawataki tena mchezo, Blazers inasulubiwa vibaya sana 85-60 tofauti ya pts. 25 kipindi cha tatu! Men are being separated from the boys, kazi ipo!
Hao Celtics pumzi imewaishia, walikuwa wanasindikiza tu...wasubiri tu msimu ujao 2019/2020! Kwa sasa wabaki tu watazamaji kama sisi wengine!Boston's season is few minutes to an end
In my opinion their performance was way below expectations.
[emoji28][emoji28] KwaZulu kweli Celtics walichokoza moto baada ya kushinda game 1, Bucks alichomfanyia mwenzake sio vizuri... [emoji2] No mercy...Hao Celtics pumzi imewaishia, walikuwa wanasindikiza tu...wasubiri tu msimu ujao 2019/2020! Kwa sasa wabaki tu watazamaji kama sisi wengine!
Celtics msimu huu kuna dribblers tuu na wacheza AND1 Hakuna. Hamna scoring machine, terry kawa mdebwedoIn my opinion their performance was way below expectations.