Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Mbona 76ers wanakuwa uchochoro hivi? Yaani ni kama vile hawajui kilichowaleta uwanjani. Majuzu juzi tu Embiid alikuwa anajaribu kucheza sindimba kwa furaha, leo vipi? Kawhi anawaua jamani...utadhani mechi ya Liverpool na Barcelona 😀😛! Mwisho wa 3rd ni 92-70!