Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi Chief...Kawaida kwenye michezo, KD aliongezwa kwenye kikosi kwa ajili ya kudili na LeBron, siyo dhidi ya hizi timu zingine.
Na for straight 2 seasons tumeona matokeo.
Nawaomba niwarudishe nyuma kidogo tu muangalie huu mpambano kati ya OKC na GSW mwaka 2016. Wakati huo KD kwa OKC tayari alikuwa moto wa kuotea mbali huku Steph Curry naye kwa GSW akianza kuwaacha watu mdomo wazi...
Mchezo huu ulifanyika nyumbani kwa OKC kwenye playoffs.
Kwa bahati mbaya au nzuri kwa sasa wote wapo GSW na si mahasimu tena.
Upo sahihi Chief...
Ni mara chache sana unakuaga haupo sahihi (Natania,ila kweli)..!
Tuhamie EPL...
Leo nachukua zangu ubingwa mapema tu pale Sebureni kwa Brighton,wewe tunza nguvu ukapambane na Spurs Juni mosi..!
Kweli Kiongozi...Ubingwa wa EPL nilishakuachia siku ile nilipotoa draw na Everton.
Ukiacha zile za nyuma, ile ndiyo ilitengeneza hii tofauti ya point 1.
Nikipata UEFA itanifuta machozi, maana struggle za mwaka huu kwenda watupu itauma aisee.
Kweli Kiongozi...
Ila kuwa makini sana na BAHATI/KISMATI walichokuwa nacho Spurs...
Maana penya penya yao mpaka fainali inashangaza kiasi..!
GSW plays as a team when KD is not there, but KD akiwepo ndani ya game always anataka adominate mpira muda wote na ndio maana hata ball rotation inakua ndogo sana coz yeye atataka atoe pass ya mwisho au awe finisher, most of the games KD akitoka na point nying then GSW inakua imefungwa but kama team wakishare points wanakua wanashinda
Prediction prediction prediction who you got tonight in those 2 games 7 between Nuggets VS Blazers and Raptors VS Philly?
My Prediction Nuggets and Raptors both will go through to Western and Eastern Conference Finals.
Hata hivyo mchezo wa leo wa Nuggets si mzuri kihivyo ingawa wanaongoza.Excellent start by the Nuggets.
Hata hivyo mchezo wa leo wa Nuggets si mzuri kihivyo ingawa wanaongoza.
Bahati yao ni kwamba hata Blazers nao leo sijui wanacheza nini. Kiujumla mchezo wa leo umepoa sana, utadhani bado wapo kwenye regular season.Second quarter kuna muda wamefika 39 kwa 22, nukajua tayari.
Wameenda timeout kurudi Portland wamepunguza gape mpaka kuwa 9 kutoka 17.
Ninaona hatari hapo.
Bahati yao ni kwamba hata Blazers nao leo sijui wanacheza nini. Kiujumla mchezo wa leo umepoa sana, utadhani bado wapo kwenye regular season.
Ila game naona iko open Sana kwa yeyote kushindaBahati yao ni kwamba hata Blazers nao leo sijui wanacheza nini. Kiujumla mchezo wa leo umepoa sana, utadhani bado wapo kwenye regular season.