Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Mkuu unataka nikujibu ama?
Mtavuka kwa OKC?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtavuka kwa OKC?
Ni wazuri lakini si wa kufika Western conference finals. Ikitokea hivyo nitashangaa sana.
Mkuu unataka nikujibu ama?
Jokic ana mchezo fulani ambao hana haraka yaani, ila anakuumizeni taratibu.
Hahaha, hongera sana mkuu.
You real fought.
Mimi ni mojawapo katika waliomcheka sana kwa huo utabiri wake ila kumbuka hata saa mbovu inaweza kuonesha muda sahihi mara mbili kwa siku. Hii game Nuggets baada ya kuongoza hadi H/T waliamini wataweza lakini kila nilipokuwa nikiusoma mchezo naona giza nene mbele yao.
cc. mjr95
Q4; 2-3, phi. 66- Tor 704th quarter and Philly is still lurking close by if Raptors are not extra careful in the next 12 minutes they will lose this game.
Karibu tena kijana lakini mbona ulikimbia! Ulikuwa unachungulia kwa mbali siyo! Mimi nakumbuka sana nilichosema nalo ni kwamba hamuoni fainalo ng'o! Nafikiri unajua maana ya fainali hivyo ngoja nikupe somo...finali zinakutana timu mbili tu na timu inayoshinda ndiyo bingwa na hupewa kikombe na idadi ya rings huongezeka. Je ni lini mliwahi kutwaa rings na mpaka leo mnazo ngapi?Nacho taka kukwambia jiandae tu kisaikolojia maana tunacho kuja kukufanya huto tamani tena kukutana na Blazers. Blazers in 6
Karibu tena kijana lakini mbona ulikimbia! Ulikuwa unachungulia kwa mbali siyo! Mimi nakumbuka sana nilichosema nalo ni kwamba hamuoni fainalo ng'o! Nafikiri unajua maana ya fainali hivyo ngoja nikupe somo...finali zinakutana timu mbili tu na timu inayoshinda ndiyo bingwa na hupewa kikombe na idadi ya rings huongezeka. Je ni lini mliwahi kutwaa rings na mpaka leo mnazo ngapi?