The 2019 NBA Playoffs

Kawaida kwenye michezo, KD aliongezwa kwenye kikosi kwa ajili ya kudili na LeBron, siyo dhidi ya hizi timu zingine.
Na for straight 2 seasons tumeona matokeo.
Upo sahihi Chief...
Ni mara chache sana unakuaga haupo sahihi (Natania,ila kweli)..!
Tuhamie EPL...
Leo nachukua zangu ubingwa mapema tu pale Sebureni kwa Brighton,wewe tunza nguvu ukapambane na Spurs Juni mosi..!
 
Hivi hii ndio game ambayo Westbrook alichukizwa na ushangiliaji wa Steph..?
 
Upo sahihi Chief...
Ni mara chache sana unakuaga haupo sahihi (Natania,ila kweli)..!
Tuhamie EPL...
Leo nachukua zangu ubingwa mapema tu pale Sebureni kwa Brighton,wewe tunza nguvu ukapambane na Spurs Juni mosi..!

Ubingwa wa EPL nilishakuachia siku ile nilipotoa draw na Everton.

Ukiacha zile za nyuma, ile ndiyo ilitengeneza hii tofauti ya point 1.

Nikipata UEFA itanifuta machozi, maana struggle za mwaka huu kwenda watupu itauma aisee.
 
Kweli Kiongozi...
Ila kuwa makini sana na BAHATI/KISMATI walichokuwa nacho Spurs...
Maana penya penya yao mpaka fainali inashangaza kiasi..!
 
Ni kweli, ile game iko technically balanced, nadhani hakuna kocha atakayemu-underate mwenzake.

Asije kutuwekea kikosi cha majaribio, nachofurahi kwa sasa ni improvement ya Matip, TAA, Fabinho na Keita, hata Henderson kwa namba nane sasa hivi.
 
.

I think that will make you realize.
 
Prediction prediction prediction who you got tonight in those 2 games 7 between Nuggets VS Blazers and Raptors VS Philly?

My Prediction Nuggets and Raptors both will go through to Western and Eastern Conference Finals.
 
Same to me, home teams win.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…