The 2019 NBA Playoffs

The truth wenzake walimcheka half time. Kumbe alibashiri sahihi.
Mimi ni mojawapo katika waliomcheka sana kwa huo utabiri wake ila kumbuka hata saa mbovu inaweza kuonesha muda sahihi mara mbili kwa siku. Hii game Nuggets baada ya kuongoza hadi H/T waliamini wataweza lakini kila nilipokuwa nikiusoma mchezo naona giza nene mbele yao.

cc. mjr95
 
Baada ya brazzers kupita nikahisi wanaenda kuwa swept na warriors, lakini kwenye regular season brazzers v warriors ni 2-2. Itakuwa fainali interesting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…