Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Hahaha I'm not sure about that.Nadhani sasa tunaweza kusema he is among the elite players of NBA. IMO he is among the top 10 players of NBA.
Nadhani sasa tunaweza kusema he is among the elite players of NBA. IMO he is among the top 10 players of NBA.
Ile issue ilikuwa ya kitoto, msimu ule hakuwa na true leaders wa kumlead, na Swag P naye matani yalikuwa mengi pia.Hahaha nilishasahau kama Jason Taytum ana exist.
Nilisikia D'Angelo aligombana na Nick Young ndo maana Lakers walimuachia. Alafu nilitegemea Lonzo angesaidiana zaidi na LeBron lakini kweli labda season ijayo.
Ile issue ilikuwa ya kitoto, msimu ule hakuwa na true leaders wa kumlead, na Swag P naye matani yalikuwa mengi pia.
Ila Lakers walimuuza kwa sababu ya ku-create nafasi kwa Lonzo, waliona kama Lonzo ana ceiling kubwa kupita D'Angelo.
Nakumbuka Magic akisema D'Angelo hana leadership genes ukilinganisha na Lonzo.
Okay let’s wait and see but I believe so. The guy is so good. Let’s watch him during these playoffs.
Now they realize that their assumptions were very wrong.
Game yao ndo itaanza leo, naona Embiid anaweza asicheze.
Mimi nitaangalia kama ntajua Embiid anacheza.
Hata hivyo simwoni kwa level hizo.
Ukianza kulist elite PGs tu bado sana, ije top 10 ya NBA?
Yes Embiid is doubtful. Okay ngoja tumuangalie kama he is among top 10 players or it is too early to include him in that group.
Naona watu mnazungumzia timu zingine na kuisahau Portland Trail Blazers. Hawa jamaa wako vizuri sana msimu, yaani wana balaa sana hawa. Sipati picha kama Nurkic asinge vunjika mguu. Juzi tu wametoka kuibamiza Sacramento Kings kutoka nyuma ya pointi 28 mpaka kuibuka na ushindi, na kitu cha kusitajabisha sana ni kule kucheza wachezaji sita pekee tena wale watoto wao.
MGC
Ahaaa kumbe. Na Lonzo mwenywe ndo huyo.Ile issue ilikuwa ya kitoto, msimu ule hakuwa na true leaders wa kumlead, na Swag P naye matani yalikuwa mengi pia.
Ila Lakers walimuuza kwa sababu ya ku-create nafasi kwa Lonzo, waliona kama Lonzo ana ceiling kubwa kupita D'Angelo.
Nakumbuka Magic akisema D'Angelo hana leadership genes ukilinganisha na Lonzo.
Ahaaa kumbe. Na Lonzo mwenywe ndo huyo.
Naona watu mnazungumzia timu zingine na kuisahau Portland Trail Blazers. Hawa jamaa wako vizuri sana msimu, yaani wana balaa sana hawa. Sipati picha kama Nurkic asinge vunjika mguu. Juzi tu wametoka kuibamiza Sacramento Kings kutoka nyuma ya pointi 28 mpaka kuibuka na ushindi, na kitu cha kusitajabisha sana ni kule kucheza wachezaji sita pekee tena wale watoto wao.
MGC
Jiandae kushangaa tena sanaNi wazuri lakini si wa kufika Western conference finals. Ikitokea hivyo nitashangaa sana.