The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Wakuu mnawaona lakini Brooklyn wanavyosumbua ugenini? There is a possibility to steal this one.
Duh, Orlando Magic nao wakataa ugenini...Toronto hoi nyumbani kwao!! Mwisho wa mchezo 104-101! Ngoja tusubiri tuone kama Warriors nao watapigwa nyumbani kwao!
 
Raptors wasipokuwa careful Magic watawaadhiri na Warriors na Clippers ndiyo imeanza dakika chache zilizopita. Enjoy the game Mkuu.

As you said, Raptors kachezea.

Usile Mbegu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wako hatarini hawa wanaweza kabisa kuchezea kichapo kutoka kwa Orlando kama wasipogangamara. Katika mechi nne timu tatu zilizokuwa ugenini zimeshinda.

As you said, Raptors kachezea.

Usile Mbegu.
 
Wako hatarini hawa wanaweza kabisa kuchezea kichapo kutoka kwa Orlando kama wasipogangamara. Katika mechi nne timu tatu zilizokuwa ugenini zimeshinda.

Denver pia anaweza kuondolewa na Spurs.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naona Nets wamekamalika kwenye Rebounding, Blocks na iso plays ila tusubiri tuone game 2 itakuwaje.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Portland Trail Blazers leo tunachinja mtu bila huruma

MGC
 
Mie ndiyo napenda hii Mkuu siyo zile boring games mshindi unamjua hata kabla hawajaingia uwanjani.

Playoffs ziko competitive mwaka huu, yaani hata kupredict nani atapita siyo rahisi.
 
Wakuu mmewaona Clippers? Sikutegemea washinde hata game 1 ugenini.

Game ya Clippers ilikuwa ya maajabu.

Niliangalia scoreboard nikaona wameachwa kama 25+, nikajua imeisha hii.

Baadae kuangalia nikakuta wako 100 kwa 112, baadae eti wameshinda. Aisee.
 
Golden State are not good enough this year and if they are not careful their dynasty won’t be achieved.

Game ya Clippers ilikuwa ya maajabu.

Niliangalia scoreboard nikaona wameachwa kama 25+, nikajua imeisha hii.

Baadae kuangalia nikakuta wako 100 kwa 112, baadae eti wameshinda. Aisee.
 
Game ya Clippers ilikuwa ya maajabu.
Niliangalia scoreboard nikaona wameachwa kama 25+, nikajua imeisha hii.
Baadae kuangalia nikakuta wako 100 kwa 112, baadae eti wameshinda. Aisee.
Yaani we acha tu nafumba na kufumbua clippers wameshinda wakati gs walikuwa wanaongoza. kazi ipo
 
Yaani we acha tu nafumba na kufumbua clippers wameshinda wakati gs walikuwa wanaongoza. kazi ipo

Aisee, yaani nilifungua ili niangalie game recap nikashangaa sana.

GSW itabidi akaze hizo game zinazofata, nitaangalia game 3.

Kama Cousins hatakuwepo itakuwa changamoto ku-adjust.

Atleast hapo sweep hakuna.
 
Back
Top Bottom