The 2019 NBA Playoffs

Tengua kauli yako mapema kabisa. Najua saizi huko uliko una shangaa tu kama ulivyo toa ahadi yako.
Ni wazuri lakini si wa kufika Western conference finals. Ikitokea hivyo nitashangaa sana.
 
Nacho taka kukwambia jiandae tu kisaikolojia maana tunacho kuja kukufanya huto tamani tena kukutana na Blazers. Blazers in 6
 
4th quarter and Philly is still lurking close by if Raptors are not extra careful in the next 12 minutes they will lose this game.

Mpaka Sasa Naona Philadelphia kashapogwa q-zote 2 inaingia quarter 3
 
The Raptors advance to the ECF where they'll meet Giannis and his Bucks.
 
Nacho taka kukwambia jiandae tu kisaikolojia maana tunacho kuja kukufanya huto tamani tena kukutana na Blazers. Blazers in 6
Karibu tena kijana lakini mbona ulikimbia! Ulikuwa unachungulia kwa mbali siyo! Mimi nakumbuka sana nilichosema nalo ni kwamba hamuoni fainalo ng'o! Nafikiri unajua maana ya fainali hivyo ngoja nikupe somo...finali zinakutana timu mbili tu na timu inayoshinda ndiyo bingwa na hupewa kikombe na idadi ya rings huongezeka. Je ni lini mliwahi kutwaa rings na mpaka leo mnazo ngapi?
 
Hahahaa sikukimbia na sito kimbia. Hii series siku zote nilikuwa naombea itokee ili tuonyeshe ulimwengu kuwa Blazers ni kusema kitu gani hapa mjini. Kuna mwenzako alisema hivyo hivyo kuwa Blazers hato fika WCF Lakin mpaka sasa kainamisha kichwa kwa aibu. Uzuri tunaanzia kwenu, tutaforce tupate angalau ushindi mmoja tu alfu mkija Moda Center tuwaonyeshe kama mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…