The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Kuna picha moja ya jana kule FB yuko na Drake wote wanasmile basi comments za watu kumuona anatabasamu zinachekesha sana 😂

Yani the dude is so serious! I think he is shy naturally. Asante ni ekaribia, [emoji1374]
 
Kawhi has delivered on every dollar of his contract. Most never gave the Raptors any chance of advancing to the Finals.

And I told my wife 2 times that, if there's any team left in the CFs that can give us some run for our money, that's gonna be the Raptors. I don't know why, but I've never underestimate the Klaw, esp. when it comes to the crunch time.

May the best team win!

Namkumbuka akiwa San Antonio, he is well learned from great Coach Popovich. Namtakia kila la heri kwenye final, wanaweza kushangaza dunia.
 
Salam kwenu wakuu. Huyu Kahwi sijui Kahawa ni mtu hatari sana. Halafu hacheki wala hatabasamu, wala hashangilii, na haongei sana. This was the best match. Hongera kwa Toronto. [emoji847]
Kahawa Leonard ana mikono mipana sana hahahah

Anaweza shika mpira wa basket kama kitenesi .

Warriors inabdi wamfanyie hesabu huyu na kyle lowry
 
Kahawa Leonard ana mikono mipana sana hahahah

Anaweza shika mpira wa basket kama kitenesi .

Warriors inabdi wamfanyie hesabu huyu na kyle lowry
Cheki hio picha yaani kaushika mpira kama kitenesi tu hahahah..
IMG_20190526_181949_041.jpeg
 
Yeah, niliona ile match, alijitahidi kushangilia ile point ya mwisho, but its very rare to see him like that. He seems very humble and shy.

Sidhani kama ni shy, it's just how he is. Toka utoto ukiangalia clip zake yuko vilevile.

Na watu tulishangaa sana yeye kuomba kuondoka Spurs maana ndiyo culture ilikuwa ni exact fit.
 
Kahawa Leonard ana mikono mipana sana hahahah

Anaweza shika mpira wa basket kama kitenesi .

Warriors inabdi wamfanyie hesabu huyu na kyle lowry

Kweli saa zingine aki shoot three nilikua najiuliza mbona kama yuko ndani ya mstari, kumbe ni mikono yake ndo inafanya aonekane kama alikua karibu na rim kumbe yuko mbali [emoji28][emoji28]
 
Jamaa alilia kama mtoto nadhani hakutegemea kabisa kutolewa na Raptors.

Hakutegemea kabisa, ukizisikia interview zake za nyuma unaona kabisa akili yake inamwambia njia ya Finals ni rahisi.
 
Sidhani kama ni shy, it's just how he is. Toka utoto ukiangalia clip zake yuko vilevile.

Na watu tulishangaa sana yeye kuomba kuondoka Spurs maana ndiyo culture ilikuwa ni exact fit.

Mkuu Don, muangalie vizuri utaona muda mwingi anakwepa kuangalia camera, camera zikimuangalia anageuka na anajitahidi kuyeyusha au ataangalia chini, he is shy, au niseme "camera shy", and its not a bad thing, ndiyo personality yake na inampendeza hivo. Safi sana. Nawaombea ushindi japo mlima ni mrefu lakini hakuna kisichowezekana chini ya jua.
 
Nimekuelewa, mlima alionao kwa GSWs ni mkubwa sana.

Ingekuwa game 1 peke yake ingewezekana, ila 7 games si mchezo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom