Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha ana kicheko chake kimoja kilimfanyaga Kevin Hart acheke ya hela yote.Jamaa hapendi media kabisa ana private life lake
Sasa nimerukia ndani ya bandwagon ya Raptors. I hope hawatakuwa baby dinos mbele ya GSW.
Hahaha ana kicheko chake kimoja kilimfanyaga Kevin Hart acheke ya hela yote.
Die and be a hero or live long enough to see yourself become the villain.
Alivyosema "I'm fun guy" uso unaonesha tofauti na anachokisema. Hahahha. Sasa ukipitia comments ndo utachoka.
Hatimaye amecheka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], itakua Drake amemwambia kitu cha kuchekesha labda. Safi sana, he deserve. Naangalia replay saa hizi.
Karibu sana Nzi, usiwe unapotea hivyo ila pole sana kwa kurukia ndani ya bandwagon ya losers, naona hii sasa imekuwa kawaida yako kwani si mara yako ya kwanza. Historia inatakiwa itoe fundisho lakini some of you will just never learn. Hebu pitia hizi tabiri tofauti tofauti zilizowahi kutolewa humu jamvini toka hizi playoffs za msimu huu zianze za timu mbili zitakazotinga fainali...well here goes...Sasa nimerukia ndani ya bandwagon ya Raptors. I hope hawatakuwa baby dinos mbele ya GSW.
I hope GSW lose tonight.
Mkuu amini kuwa Blazers ndio bingwa wa Western Conference
My prediction Houston VS Bucks
Mkuu Nzi, nadhani unaweza kuona jinsi Warriors walivyokuwa hawapewi nafasi yoyote ile, na wakitajwa ni pale tu wanapoombewa washindwe. Nikimjibu mjr95 alipotabiri Blazers na Bucks kukutana fainali nilisema hivi...Blazers Vs Bucks
Na kweli timu hizo mbili, pamoja na kupigiwa tafu, mbio zao ziliishia ukingoni. Sasa mwenzangu Nzi nawe umerukia bandwagon ile ile ya miaka yote...please join me, rukia bandwagon ya washindi. GSW atatetea taji lake come what may!Bucks na Blazers hawataziona FINALS ng'o!
Karibu sana Nzi, usiwe unapotea hivyo ila pole sana kwa kurukia ndani ya bandwagon ya losers, naona hii sasa imekuwa kawaida yako kwani si mara yako ya kwanza. Historia inatakiwa itoe fundisho lakini some of you will just never learn. Hebu pitia hizi tabiri tofauti tofauti zilizowahi kutolewa humu jamvini toka hizi playoffs za msimu huu zianze za timu mbili zitakazotinga fainali...well here goes...
Mkuu Nzi, nadhani unaweza kuona jinsi Warriors walivyokuwa hawapewi nafasi yoyote ile, na wakitajwa ni pale tu wanapoombewa washindwe. Nikimjibu mjr95 alipotabiri Blazers na Bucks kukutana fainali nilisema hivi...
Na kweli timu hizo mbili, pamoja na kupigiwa tafu, mbio zao ziliishia ukingoni. Sasa mwenzangu Nzi nawe umerukia bandwagon ile ile ya miaka yote...please join me, rukia bandwagon ya washindi. GSW atatetea taji lake come what may!
Ni muda sasa mjr95 kaingia mitini, lakini popote alipo naomba akae karibu na TV yake fainali zitakapoanza na mathalani timu zake zote zimetolewa awashangilie mabingwa in waiting. Kwa ufahamisho, haitajalisha kama KD na the Boogie hawatashiriki, ubingwa uko pale pale!

Thanks kwa kutusapoti GSW!.Natabiri haitakuwa fainali rahisi kwa gsw maana kwa kumbukumbu zangu warriors walipoteza 2-0 kwenye regular games walizokutana. Ukiangalia kwenye you tube,raptors hawakushinda kwa kubahatisha bali walikuwa wanaongoza kwa gap kubwa tena mwanzo hadi mwisho.
Ili gsw wa cruise with easy,coach kerr anatakiwa aje na mbinu ya kumzuia the claw na splash bros wawe kwenye form hasa kwenye 3s. Iggy akipewa playing time kubwa anaweza kumzuia the claw.
Mwisho wa yote,naiamini slogan ya gsw #strengthinnumber,ina fanya kazi vizuri sana.
Mkuu, mimi nachangamsha tu jukwaa lakini pamoja na hilo uwezo wa Warriors ni mkubwa. Baada ya kuwatoa Clippers na Rockets (bila KD!) sikuwa na wasi wasi tena na kweli Blazers wakafagiliwa bila huruma. Ninachojua ni kwamba when the going gets tough you can count on the Warriors!Hahahahahahaha wahenga walisema tusiandikie mate na wino upo. What’s on paper sometimes is very different from reality.
Mkuu, mimi nachangamsha tu jukwaa lakini pamoja na hilo uwezo wa Warriors ni mkubwa. Baada ya kuwatoa Clippers na Rockets (bila KD!) sikuwa na wasi wasi tena na kweli Blazers wakafagiliwa bila huruma. Ninachojua ni kwamba when the going gets tough you can count on the Warriors!
Unafanya makosa mawili ndugu yangu. Kwanza, regular season na post post regular season ni vitu viwili tofauti kabisa na hata michezo hubadilika na wachezaji kujituma zaidi. La pili, kumbukumbu nilizo nazo ni kwamba December 12, 2018 Raptors walipoinyanyasa GSW 113-93 uwanja wa Oracle, the claw, Kawhi, hakucheza kabisa, alikuwa benchi.Natabiri haitakuwa fainali rahisi kwa gsw maana kwa kumbukumbu zangu warriors walipoteza 2-0 kwenye regular games walizokutana. Ukiangalia kwenye you tube, raptors hawakushinda kwa kubahatisha bali walikuwa wanaongoza kwa gap kubwa tena mwanzo hadi mwisho.
Subiri uone mnyama simba ukichezea sharubu zake anavyojibu mapigo na hicho kipigo Raptors hawatakaa waisahau. Je unakumbuka rekodi ya Rockets vs Raptors kwenye regular? Rockets waliwalaza Raptors 2-0 pamoja na Kawhi kuwa ndani.Ili gsw wa cruise with easy,coach kerr anatakiwa aje na mbinu ya kumzuia the claw na splash bros wawe kwenye form hasa kwenye 3s. Iggy akipewa playing time kubwa anaweza kumzuia the claw. Mwisho wa yote, naiamini slogan ya gsw #strengthinnumber,ina fanya kazi vizuri sana.
Unafanya makosa mawili ndugu yangu. Kwanza, regular season na post post regular season ni vitu viwili tofauti kabisa na hata michezo hubadilika na wachezaji kujituma zaidi. La pili, kumbukumbu nilizo nazo ni kwamba December 12, 2018 Raptors walipoinyanyasa GSW 113-93 uwanja wa Oracle, the claw, Kawhi, hakucheza kabisa, alikuwa benchi.
Subiri uone mnyama simba ukichezea sharubu zake anavyojibu mapigo na hicho kipigo Raptors hawatakaa waisahau. Je unakumbuka rekodi ya Rockets vs Raptors kwenye regular? Rockets waliwalaza Raptors 2-0 pamoja na Kawhi kuwa ndani.