Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Team chemistry GSW is the best, most players Wana experience ya finals, Raptors ni Kahwi tu ndio ana experience hiyo, Gasol bado ndio first time sasa kwa hiyo wanahitaji muda kukaa pamoja ili waweze cheza kama team ya ushindi, ukiangalia hata kwenye conference finals Bucks ni uzembe wao tu ila game 6 walikuwa na uwezo wa kushinda na biashara ingeishia Milwaukee ila nao kilichowa cost ni lack of finals experience, GSW is better placed to win this title for 3rd consecutive time and kuipita Bulls kwa rings, Curry, Draymond, Klay na bado KD hajarudi hapo Raptors anashinda game gani? Ila sababu ni timu ya Mbantu mwenzetu Maasai na mwezi wa nane tutakuwa nae hapa basi tumuuunge mkono tu, ila GSW is undisputed and unstoppable by any NBA team at the moment
Mag3 hata mimi ni shabiki wa gsw lakini pamoja na ubora wetu kwa sasa inastahili tumpe heshima yake kawhi na raptor yake kwakuwa hii ni fainali. Pili kama ambavyo umejibu kuwa pale oracle bila ya uwepo wa mchezaji muhimu wa timu walitupiga hivyo hatujui bado kama plan B yetu dhidi yao itafanya kazi vizuri.Unafanya makosa mawili ndugu yangu. Kwanza, regular season na post post regular season ni vitu viwili tofauti kabisa na hata michezo hubadilika na wachezaji kujituma zaidi. La pili, kumbukumbu nilizo nazo ni kwamba December 12, 2018 Raptors walipoinyanyasa GSW 113-93 uwanja wa Oracle, the claw, Kawhi, hakucheza kabisa, alikuwa benchi.
Subiri uone mnyama simba ukichezea sharubu zake anavyojibu mapigo na hicho kipigo Raptors hawatakaa waisahau. Je unakumbuka rekodi ya Rockets vs Raptors kwenye regular? Rockets waliwalaza Raptors 2-0 pamoja na Kawhi kuwa ndani.
Pamoja mkuuThanks kwa kutusapoti GSW!.
Game ya 1 na 2 most probably KD hatacheza, of course Kawhi kajitahidi sana kuifikisha hapo Raptors ila unfortunately anakutana na timu iliyokamilika na yenye uzoefu wa kutosha kucheza fainali, kuna uwezekano yaliyotokea mwaka jana kwa Cavaliers yakawakumba, Cavs had one great player na wengine wa kawaida ndio hili naliona kwa Raptors, but GSW plays as a team and any player can do anything to help the team win na chemistry yao iko vizuri, Warriors without KD is a great team, with KD in the roster Warriors is the greatest of them all and unstoppable and undefeated by any NBA team when comes to title raceM
Mag3 hata mimi ni shabiki wa gsw lakini pamoja na ubora wetu kwa sasa inastahili tumpe heshima yake kawhi na raptor yake kwakuwa hii ni fainali. Pili kama ambavyo umejibu kuwa pale oracle bila ya uwepo wa mchezaji muhimu wa timu walitupiga hivyo hatujui bado kama plan B yetu dhidi yao itafanya kazi vizuri.
Tatu tunaanzia kwenye uwanja wao wa nyumbani hivyo itatulazimu tupate walau game 1 away kabla ya kuanza kujiamini. Kumbuka pamoja na ubora wetu lakini huwa tunaenda sambamba sana na wapinzani wetu hadi dakika za mwisho ndio tunaibuka kidedea. Vipi kuhusu uwepo wa KD kwenye hii fainali?
Najua wapo wanaoshangaa kwa nini naishupalia sana Warriors...ninazo sababu na kubwa ni mbili; historia na msingi walioujenga. Kama alivyowahi kusema Phil Jackson aliyekuwa kocha wa Chicago Bulls miaka ilee; Warriors walifungua ukurasa mpya kabisa katika historia ya NBA na kwa bahati nzuri Warriors aliyokuwa akiiongelea bado ipo na karibu ni ile ile ya 2014/2015. Hebu fikirieni kidogo...Warriors as usual. One down tonight on their home court
Boss mimi ni warrior kindaki ndaki nimesemaje tunachukua game ya kwanza usiku huu kwao .Najua wapo wanaoshangaa kwa nini naishupalia sana Warriors...ninazo sababu na kubwa ni mbili; historia na msingi walioujenga. Kama alivyowahi kusema Phil Jackson aliyekuwa kocha wa Chicago Bulls miaka ilee; Warriors walifungua ukurasa mpya kabisa katika historia ya NBA na kwa bahati nzuri Warriors aliyokuwa akiiongelea bado ipo na karibu ni ile ile ya 2014/2015. Hebu fikirieni kidogo...
Kazi kwenu mnaolialia kwamba Raptors hawana uzoefu, hii si sababu...ingekuwa ni uzoefu tu GSW hawangefika walipofika, kuna kitu wanacho na sisi wengine tunakiona.
- Mwaka 2015 Warriors ilikuwa timu ya kwanza kuingia playoffs ikiwa haina hata mchezaji moja mwenye uzoefu wa playoffs na kuchukua ubingwa wa WC.
- Warriors ilikuwa timu ya kwanza kuingia finals bila mchezaji hata moja aliyekuwa na uzoefu wa kucheza fainals lakini kikaweza kutwaa ubingwa wa NBA.
- Warriors ilikuwa timu ya kwanza kuupa umuhimu utunguaji wa tatu tatu (3-pts) ambao kabla ya hapo haukutiliwa maanani na makocha kama akina Phil Jackson.
- Warriors, kwa style ya strengthinnumbers, ilikuwa timu ya kwanza kuacha kutomtegemea mchezaji moja ama wawili huku timu ina wachezaji watano uwanjani.
- Warriors ilikuwa timu ya kwanza kuvunja mwiko wa utegemezi wa umbo kubwa na ubabe katika draft badala uhodari katika style, flair and assist.
Wakuu DeMarcus Cousins is officially active for Game 1 of the NBA Finals.
Raptors, kwa Warriors ninayoijua, watakuwa na bahati sana kuambulia michezo miwili katika hii fainali.Boss mimi ni warrior kindaki ndaki nimesemaje tunachukua game ya kwanza usiku huu kwao .
Ni kweli, Cousins sidhani atakuwa kwenye starters, anaweza akatoka benchi.Yeah Boogie Cousins amerudi sema sidhani kama atamuanzisha naona atatokea benchi pia KD nawasiwasi anaweza kukosa kbisa kucheza hizi finals,naona hii ndo chance ya Curry kutafuta ile "Finals MVP" title maana naona watu wengi wanamshushia heshima jamaa!
Ni kweli, Cousins sidhani atakuwa kwenye starters, anaweza akatoka benchi.
Mimi hii nimeipenda sana kwa Warriors kucheza mchezo wake wa kwanza ugenini. Leo Raptors waangalie sana kwani pamoja na kuchezea nyumbani, bila shaka wao ndio wataonekana kuonesha wasiwasi kuliko wageni wao. Siku hizi Warriors wanapochezea nyumbani wana tabia ya kutokuwa makini kama wanapokuwa ugenini na hata wakishinda ni kibahati bahati tu. Kwa kweli bado sijui ni kitu gani kinawasumbua mbele ya mashabiki wao. Tik...tak...tik...tak...tik...tak, dakika zayoyoma na sina wasi wasi kabisa!Hii game ya leo unaonaje mkuu ni high scoring ama low?