Ajabu ni kwamba kukosekana kwa KD kunaonekana kunakusumbua na kukuumiza wewe kuliko kuliko sisi wapenzi wa GSW. Wengine wetu hata hatuna wasi wasi wala hatumuombei mchezaji yeyote aumie hata kama ni wa Toronto. Pia hatutoi excuse kwa kukosekana kwa wachezaji wawe wawili, watatu na hata wanne! #strengthinnumbers!It is two in one for The Warriors. I mean The Warriors and The Warriors with KD. Today it was The Warriors.
Ajabu ni kwamba kukosekana kwa KD kunaonekana kunakusumbua na kukuumiza wewe kuliko kuliko sisi wapenzi wa GSW. Wengine wetu hata hatuna wasi wasi wala hatumuombei mchezaji yeyote aumie hata kama ni wa Toronto. Pia hatutoi excuse kwa kukosekana kwa wachezaji wawe wawili, watatu na hata wanne! #strengthinnumbers!
As I said, we are not told the real status of KD.
Durant ruled out for Game 4; Klay likely to play
Kevin Durant's calf injury will keep him out for the Warriors in Game 4 of the NBA Finals on Friday. Klay Thompson will return from his hamstring injury after missing Game 3.www.espn.com
Namtakia afya njema na namshauri asijaribu ku risk career yake for a few games, its not worth it [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
Bila shaka nawe ni mjumbe wa kamati ya roho mbaya dhidi ya GSW. Kwa kweli, nami namtakia asijaribu kabisa ku-risk kwa timu ambayo baadhi ya wachezaji wanasema hawamhitaji KD, na KD ni bi*ch.
If wishes were horses, beggars would ride! If wishing could make things happen, then even the most destitute people would have everything they wanted.Raptors wakikaza leo wakachukua game watakuwa wametusaidia sana haters.
Game SAA ngapi wakuu
Bonge lA block from Draymond Green 3Q 6:15.Daa,Raptors they don shoot
61:61 3:49Bonge lA block from Draymond Green 3Q 6:15.
GSW 58: Raptors 56
Inauma,lakini niseme tu tumeshapigwa na hii game..!
Hawa jamaa wanatuchapa kwa kutumia "fimbo" zetu wenyewe..!
GSW 63: Raptors 77 balaa nyumbaniInauma,lakini niseme tu tumeshapigwa na hii game..!
Hawa jamaa wanatuchapa kwa kutumia "fimbo" zetu wenyewe..!