Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Ajabu ni kwamba kukosekana kwa KD kunaonekana kunakusumbua na kukuumiza wewe kuliko kuliko sisi wapenzi wa GSW. Wengine wetu hata hatuna wasi wasi wala hatumuombei mchezaji yeyote aumie hata kama ni wa Toronto. Pia hatutoi excuse kwa kukosekana kwa wachezaji wawe wawili, watatu na hata wanne! #strengthinnumbers!It is two in one for The Warriors. I mean The Warriors and The Warriors with KD. Today it was The Warriors.