The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Hodi hodi, kwa kweli tumepigwa, Warriors tumepigwa na baada ya leo ni 3-1! Je ndio mwisho wa safari kwa Warriors? Haya tusubiri tuone kitakachotokea huko Toronto! Je Raptors watavikwa taji nyumbani kwao? Silalamiki, kwa kweli tumezidiwa tena si kidogo.
 
Hivi inakuwaje timu za wazungu zinafanya najisikia vibaya hivi..?
Sijawahi kuangalia mechi ya Yanga au Taifa Stars zikiwa zinafungwa alafu nikajisikia vibaya kama ninavyojisikia nikishuhudia Man City na GSW wanafungwa..!
Yaani hapa nilivyovurugwa naweza hata nikamchapa mtu makonde..!
Hawa wazungu sijui walitupa nini aisee..!!!

Sports haina ubaguzi, jana nimemwangalia Rafael Nadal anamkimbiza Roger Federer imeniuma kama nini.

Ila Raptors wanafanya maisha yarudi kuwa marahisi.
 
Hodi hodi, kwa kweli tumepigwa, Warriors tumepigwa na baada ya leo ni 3-1! Je ndio mwisho wa safari kwa Warriors? Haya tusubiri tuone kitakachotokea huko Toronto! Je Raptors watavikwa taji nyumbani kwao? Silalamiki, kwa kweli tumezidiwa tena si kidogo.
I'd hate that to happen..the championship has to stay in the West
 
Hodi hodi, kwa kweli tumepigwa, Warriors tumepigwa na baada ya leo ni 3-1! Je ndio mwisho wa safari kwa Warriors? Haya tusubiri tuone kitakachotokea huko Toronto! Je Raptors watavikwa taji nyumbani kwao? Silalamiki, kwa kweli tumezidiwa tena si kidogo.
Mzee wa "if horses were beggers acha kulia lia, bila KD humu hakuna kitu.
KD is not Finals Material.
 
Sports haina ubaguzi, jana nimemwangalia Rafael Nadal anamkimbiza Roger Federer imeniuma kama nini.

Ila Raptors wanafanya maisha yarudi kuwa marahisi.
Kweli kaka,sports haina ubaguzi..!
Ila kupenda cha jirani kuliko unavyokipenda chako mwenyewe sio jambo la kawaida..!
 
Kweli kaka,sports haina ubaguzi..!
Ila kupenda cha jirani kuliko unavyokipenda chako mwenyewe sio jambo la kawaida..!

Wala, facilities za kuangalia game zinachangia, ubora wa game pia.

Nitaandika kitu kwenye thread zetu zile za football, kuhusu hiyo topic, tutaijadili.
 
Kawhi Leonard was The Finals MVP in a team that stopped Miami Heats (LBJ and Co) 3 Peat.
Kawhi Leonard is in the verge of stopping GSWs 3 Peat. He will definitely be The Finals MVP if they do it.
 
Mzee wa "if horses were beggers acha kulia lia, bila KD humu hakuna kitu. KD is not Finals Material.
And here I thought you were sportsman material! Flogging a dead horse, aren't you? Well, flog it as hard as you can for that way, it may bring you more joy! Just remember, that's not what sportsmen do! And another thing... it ain't o'er til' it's o'er !

it-aint-over-png.1121268

it ain't over til it's over!
 
2016 West Conference Finals GSWs walipindua matokeo 3 - 1 versus OKC iliyokuwa na Durant.

Ninaamini hata hii wanaipindua.
Majeruhi ni wengi, starters ambao wapo 100% healthy ni Curry na Green. Kama core ya timu haitabadilika sana bado GSW dynasty itaendelea.
 
Kwakweli sasa KD arudi tu,maana michezaji inayocheza kibabe kama Kahwi dawa yao ni KD tu..!
 
Hawa GSW bila KD ni very average. Huo ndio ukweli. Toronto wanakwemda kuishangaza dunia. Team gani haina mbinu nyingine zaidi ya ku shoot three's. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom