Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Majeruhi ni wengi, starters ambao wapo 100% healthy ni Curry na Green. Kama core ya timu haitabadilika sana bado GSW dynasty itaendelea.
Hii siyo timu ya mtu mmoja mkuu, kwani ukiacha KD ni nani mwingine majeruhi?