The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

They did a great job handling the nuggets, proud of the spurs they are the best. Go Spurs Go. Halafu Worries and Rockets in round 2 are so spicy
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Imekula kwao ila jana D’Angelo hakunifurahisha sana inabidi awe na killer instincts kama za Kobe. Kuna rumours kwamba Kobe anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Magic kama ikiwa kweli itakuwa poa sana.

Labda kwa wakati huo walimuona nick ni valuable kuliko Russell
 
Imekula kwao ila jana D’Angelo hakunifurahisha sana inabidi awe na killer instincts kama za Kobe. Kuna rumours kwamba Kobe anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Magic kama ikiwa kweli itakuwa poa sana.

Kuna siku nilisikiliza First Take ya ESPN wanasema Kobe ndiye aliye mu-endorse Pelinka na probably Pelinka anapokea ushauri mwingi kutoka kwa Kobe.

Wakimpa hiyo nafasi nitaamini hicho kitu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie ningependa wampe Kobe nadhani ataleta mafanikio makubwa sana within a very short time.

Raptors wasipokuwa careful Magic watawaadhiri na Warriors na Clippers ndiyo imeanza dakika chache zilizopita. Enjoy the game Mkuu.
Hizi game zinaonyeshwa chanell gan mkuu
 
Mie ningependa wampe Kobe nadhani ataleta mafanikio makubwa sana within a very short time.

Kobe ninachomkubali ni kwamba itakuwa rahisi kurecruit free agents, hasa kipindi hiki.

Mimi pia ningependa iwe hivyo, uzuri jamaa haongei sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Imekula kwao ila jana D’Angelo hakunifurahisha sana inabidi awe na killer instincts kama za Kobe. Kuna rumours kwamba Kobe anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Magic kama ikiwa kweli itakuwa poa sana.
D White Was Absolutely Killing it Last Night! What a performance. Can't Wait for Game 4 Let's get this for W. Spurs
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nuggets wanajifanyaga wanakaza regular season ila playoffs wanaongoza kupigwa sweep hao
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Imekula kwao ila jana D’Angelo hakunifurahisha sana inabidi awe na killer instincts kama za Kobe. Kuna rumours kwamba Kobe anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Magic kama ikiwa kweli itakuwa poa sana.
Yah jana d'angelo alipwaya kidogo.
Duu kama ni kweli tumuone Kobe atafanyaje.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umekiona ambacho mie pia nimekiona. Kobe wacheza wanamkubali sana hivyo free agents yeyote atakayemtaka asajili na Lakers hatamkosa.

Kobe ninachomkubali ni kwamba itakuwa rahisi kurecruit free agents, hasa kipindi hiki.

Mimi pia ningependa iwe hivyo, uzuri jamaa haongei sana.
 
Indiana wanapambana wasiwe swept.

Game iko half time 49 to 47.

Nahisi Celtics watapiga defensive game Quarter 3.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom