Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
They did a great job handling the nuggets, proud of the spurs they are the best. Go Spurs Go. Halafu Worries and Rockets in round 2 are so spicy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa wakati huo walimuona nick ni valuable kuliko Russell
Imekula kwao ila jana D’Angelo hakunifurahisha sana inabidi awe na killer instincts kama za Kobe. Kuna rumours kwamba Kobe anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Magic kama ikiwa kweli itakuwa poa sana.
Kuna siku nilisikiliza First Take ya ESPN wanasema Kobe ndiye aliye mu-endorse Pelinka na probably Pelinka anapokea ushauri mwingi kutoka kwa Kobe.
Wakimpa hiyo nafasi nitaamini hicho kitu.
Hizi game zinaonyeshwa chanell gan mkuuRaptors wasipokuwa careful Magic watawaadhiri na Warriors na Clippers ndiyo imeanza dakika chache zilizopita. Enjoy the game Mkuu.
Mie ningependa wampe Kobe nadhani ataleta mafanikio makubwa sana within a very short time.
D White Was Absolutely Killing it Last Night! What a performance. Can't Wait for Game 4 Let's get this for W. SpursImekula kwao ila jana D’Angelo hakunifurahisha sana inabidi awe na killer instincts kama za Kobe. Kuna rumours kwamba Kobe anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Magic kama ikiwa kweli itakuwa poa sana.
Yah jana d'angelo alipwaya kidogo.Imekula kwao ila jana D’Angelo hakunifurahisha sana inabidi awe na killer instincts kama za Kobe. Kuna rumours kwamba Kobe anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Magic kama ikiwa kweli itakuwa poa sana.
Kobe ninachomkubali ni kwamba itakuwa rahisi kurecruit free agents, hasa kipindi hiki.
Mimi pia ningependa iwe hivyo, uzuri jamaa haongei sana.
Dame ^ Russ it has been SeTTLedOKC should have been swept. Dame kills it softly
Dame ^ Russ it has been SeTTLed
Portland Really Gonna Send Okc Home In 5?True
Portland Really Gonna Send Okc Home In 5?