Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Majeruhi ni wengi, starters ambao wapo 100% healthy ni Curry na Green. Kama core ya timu haitabadilika sana bado GSW dynasty itaendelea.
Gsw ni kama manchester united tu,ikifungwa watu wanafanya sherehe Don Clericuzio
GSW hii series hawawezi tena, unless KD arudi hiyo monday. Toronto defence yao ni matata sana, alafu wana shoot vizuri mno.Mzee wa "if horses were beggers acha kulia lia, bila KD humu hakuna kitu.
KD is not Finals Material.
Hata King James aliwahi kupindua2016 West Conference Finals GSWs walipindua matokeo 3 - 1 versus OKC iliyokuwa na Durant.
Ninaamini hata hii wanaipindua.
Mkuu najua haijaisha lakini sitaki kujipa matumaini hewa.it ain't over til it's over!
Accuracy yao ni nzuri,hadi kwa big man Gasol!GSW hii series hawawezi tena, unless KD arudi hiyo monday. Toronto defence yao ni matata sana, alafu wana shoot vizuri mno.
Kwenye western finals,green alikuwa ni mzee wa coast to coast dhidi ya blazers,amejaribu hapa anakuta kufuli limeandikwa "Serge Ibaka"Kelvin Durant anapona lini jamani? Ina Warriors walituspoiligi sana,sasa hivi cha moto tunakiona. Curry na green wamezidiwa. Kahwa anatuvua nguo jamani.
Mimi team King Rafa,jana nimefurahi sana. Ila nilikuwa naangalia chanel ambayo watangazaji walikuwa team Roger kabisa. Roger akishinda point yaani wanaonekana kabisa wanafurahi. At the end pamoja na upepo mkali,Rafa akashinda seti 3 huku Roger akiambulia sifuri. Sasa tunamsubiri kati ya Djokovic na Thiem.Sports haina ubaguzi, jana nimemwangalia Rafael Nadal anamkimbiza Roger Federer imeniuma kama nini.
Ila Raptors wanafanya maisha yarudi kuwa marahisi.
Serge Ibaka mcongo yule balaa kweli kweli.Kwenye western finals,green alikuwa ni mzee wa coast to coast dhidi ya blazers,amejaribu hapa anakuta kufuli limeandikwa "Serge Ibaka"
Kweli tumepatikana!
Huyo Mkongo yupo serious na kazi.... [emoji2]Serge Ibaka mcongo yule balaa kweli kweli.
Ila kwa upande flani nataka KD asirudi halaf tupigwe game 5.Unajua watu walimsema sana KD move yake ya kuja worriors na wakamwambia amechagua njia rahisi.Mzee wa "if horses were beggers acha kulia lia, bila KD humu hakuna kitu.
KD is not Finals Material.
Kama core ya timu haitabadilika sana bado GSW dynasty itaendelea.
Dynasty? Larriors wakifungwa, hakuna dynasty tena hapo.
Ila kwa upande flani nataka KD asirudi halaf tupigwe game 5.Unajua watu walimsema sana KD move yake ya kuja worriors na wakamwambia amechagua njia rahisi.
Mimi team King Rafa,jana nimefurahi sana. Ila nilikuwa naangalia chanel ambayo watangazaji walikuwa team Roger kabisa. Roger akishinda point yaani wanaonekana kabisa wanafurahi. At the end pamoja na upepo mkali,Rafa akashinda seti 3 huku Roger akiambulia sifuri. Sasa tunamsubiri kati ya Djokovic na Thiem.
Hahaha Naona Unavyofurahi Kaka
Hahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo vipi Hater? Nina furaha sana. [emoji23]