The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Kwenye miti hakuna wajenzi Mkuu. According to the latest news he is now in Japan playing Basketball, but I am not 100% sure about the accuracy of this info.
Last year alikuwa Yokohama B corsairs...
Team ambayo inazingua kwenye ligi yao.
Na yeye pia mzinguaji
 
  • Thanks
Reactions: BAK
But kinachoniumiza zaidi ni kwamba alikuwa Defensive Player of The Year katika level ya college. Sasa sijui alilala alivyoingia NBA.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamaa anaenda Kucheza Ndondo Cup Ug
IMG-20190511-WA0194.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Alilala sana Mkuu na humu kulikuwa na discussions za Watanzania mbali mbali waliomuona live kwenye mechi za NBA au kwenye TV kutoridhishwa na work ethics yake. Akaendelea kuzembea hadi akaishia league D ya NBA.

But kinachoniumiza zaidi ni kwamba alikuwa Defensive Player of The Year katika level ya college. Sasa sijui alilala alivyoingia NBA.
 
Alilala sana Mkuu na humu kulikuwa na discussions za Watanzania mbali mbali waliomuona live kwenye mechi za NBA au kwenye TV kutoridhishwa na work ethics yake. Akaendelea kuzembea hadi akaishia league D ya NBA.
Kwa ufupi jamaa alizingua sana kwa kweli mm roho huwa inaniuma sana nikiangalia jinsi alivyoingia NBA na sasa alipo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbuzi utampeleka kwenye maji lakini kunywa anachagua mwenyewe. Alitrain na the likes of Yao Ming, Tena alifundishwa naye, Yupo jembe moja Hakeem olajuwon ambaye anawatrain akina Lebron, Dwight Howard and Kobe.Jamaa alishindwa nini kujipendekeza?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yy ndo aliwadharau wabongo, mm nilipata bahati ya kwenda ktk uwanja alio kuwa anacheza kabla ya kwenda d league alivyo pata nafasi akatupa jongoo na mti wake
 
Kiongozi...Hivi umeshawahi kukutana na Stats zinazoonesha matokeo ya GSW wakiwa bila KD uwanjani na wakiwa bila Steph..?
Nawaomba niwarudishe nyuma kidogo tu muangalie huu mpambano kati ya OKC na GSW mwaka 2016. Wakati huo KD kwa OKC tayari alikuwa moto wa kuotea mbali huku Steph Curry naye kwa GSW akianza kuwaacha watu mdomo wazi...

Mchezo huu ulifanyika nyumbani kwa OKC kwenye playoffs.
Kwa bahati mbaya au nzuri kwa sasa wote wapo GSW na si mahasimu tena.
 
Naona Kijana Wetu Hashim Kaitwa Team Ya Taifa ya Kikapu
Nawaomba niwarudishe nyuma kidogo tu muangalie huu mpambano kati ya OKC na GSW mwaka 2016. Wakati huo KD kwa OKC tayari alikuwa moto wa kuotea mbali huku Steph Curry naye kwa GSW akianza kuwaacha watu mdomo wazi...

Mchezo huu ulifanyika nyumbani kwa OKC kwenye playoffs.
Kwa bahati mbaya au nzuri kwa sasa wote wapo GSW na si mahasimu tena.
 
But kinachoniumiza zaidi ni kwamba alikuwa Defensive Player of The Year katika level ya college. Sasa sijui alilala alivyoingia NBA.

Angeweza kufika mbali ila alichezea shilingi chooni akasahau kuna yanayoitwa matundu ya choo na shilingi ikitumbukia humo unaisahau. Alikuwa na physique hasa urefu ambao ungemwezesha kutawala mchezo lakini baada ya kukamata dola akajisahau. Saa hizi angekuwa mbali sana kama angetilia mkazo nidhamu ya mazoezi lakini akalewa sifa na dola. Nidhamu ya NBA si mchezo!
 
1st WC Final game scheduled for Tuesday. Warriors versus winner of Portland/Denver series.

1st EC Final game scheduled for Wednesday. Bucks vs winner of Philadelphia/Toronto series.

Final game of Portland/Denver and Philly/Toronto scheduled for Sunday.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ahahaaaah...
Naona mkongwe uliwatengenezea watu kaburi la kufukua..!
GSW wamekuprove wrong,Rockets wamechapwa makofi palepale sebureni kwao..!
#StrengthInNumbers

Kawaida kwenye michezo, KD aliongezwa kwenye kikosi kwa ajili ya kudili na LeBron, siyo dhidi ya hizi timu zingine.

Na for straight 2 seasons tumeona matokeo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nadhani sasa mjadala umefungwa rasmi kuhusu gsw isiyokuwa na kd kuifunga rockets iliyokamilika. Gsw ni timu ya green,Iggy na the splash brothers.
Pamoja na kusema hayo,endapo tutacheza fainali,bucks watatusumbua kiaina,wako kwenye kiwango bora sana said.
 
Thank u for giving bucks the respect they need[emoji1755]
 
Ku-adjust namna ya kucheza dhidi ya GSW ndani ya game siyo rahisi. Lakini kwa game nzima, Rockets wana nafasi ya ku-adjust.

GSW wana machaguo mawili: kukubali kuwa blown out ili Steph and Klay wasicheze 40+ minutes, au kukubali kushindwa kwa tofauti ya points 5 na kwenda game 7 wakiwa wamechoka balaa, baada ya Steph, Klay na Draymond kucheza 40+ minutes.
Hahahahahaha daaaahh aya naona unasubiri game 7 hapo 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom