The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

THe humbled Klaw
 
Attachments

  • humble leonard.jpg
    humble leonard.jpg
    66.8 KB · Views: 15
Sasa kama ndio mnawaza hivi huyo Dermacus Cousin mlimsajiri wa nini? mkaibomoa tu Pelican ya watu kwa tamaa zenu za fisi wachezaji wote wazzuri muwe nao nyie.
Chief...
Nijuavyo mimi Pelicans hawakuwa na nia ya dhati ya kuendelea kuwa na Cousins,pia NBA nzima hakuna team ambayo ilikuwa tayari kumpatia Cousins long term contract..!
Ahahaaaah...
Eti wachezaji wazuri wote tuwe nao sisi..!?
 
Hawakuwa na nia ya dhati na wakati alivunja contract ya $40m halafu amekuja huku kwenu mmempa contract ya $15m..!! Anyway ni tamaa zake tu kama za KD ndio zilimleta huko kwa bahati mbaya sana uwezo wake na wa KD ni kisima na bahari. Na ndio maana uwepo wake unaonekana kuwa ni insignificant wakati alipaswa kuwafanya watu wamsahau KD kwenye nyakati kama hizi.

Bila kusahau Raptors in 5 without KD return, 6 with KD return.
 
Imeshawadia,I'm happy for Thiem.Hope King Rafa atashinda fainali.I can't wait kumwangalia mbabe wa Roland Garros Rafael Nadal akifanya yake.

Game ilikuwa almanusura Djokovic abadili matokeo, seti ya mwisho alikuwa nyuma kwa 1 - 4 ila ameweza kufika 5 - 5.

Sema mwishoni kafanya makosa sana.
 
Hawakuwa na nia ya dhati na wakati alivunja contract ya $40m halafu amekuja huku kwenu mmempa contract ya $15m..!! Anyway ni tamaa zake tu kama za KD ndio zilimleta huko kwa bahati mbaya sana uwezo wake na wa KD ni kisima na bahari. Na ndio maana uwepo wake unaonekana kuwa ni insignificant wakati alipaswa kuwafanya watu wamsahau KD kwenye nyakati kama hizi.

Bila kusahau Raptors in 5 without KD return, 6 with KD return.

Hajavunja contract, alikuwa injured ikiwa ni msimu ambao alikuwa anaenda kuwa free agent.

Kwa hiyo July 2018 he was unrestricted free agent, kumbuka alikuwa na majeruhi ambayo kila mmoja alikuwa anaogopa kumchukua.

GSWs walimpa mkataba wa mwaka mmoja wa 5.3 M iko categorized kwenye Medium Level Exception (MLE)
Screenshot_20190608-181129.jpg
 
View attachment 1121845
ok sawa
 
Kama KD ataondoka, GSWs watamsaini tena Cousins.

Na kama akiweza kurudi kwenye form iliyokuwa nayo kabla hajaumia itakuwa bado kuwafunga ni mziki.
Kuwafunga Raptor game tatu mfululizo na tayari wanauona ubingwa huu hapa, ni sawa na kubet taifa stars itashinda ubingwa wa AFCON.

Hii haijalishi Durant atacheza au achezi game zilizobaki. Ni muda sasa warriors nao waione tamu ya kupata majeruhi kwa key players hasa kwenye nyakati muhimu kama hizi, kwani wao wamekuwa wakinufaika sana na injury series ya opponents wao misimu iliyopita.
 
Siyo series hii, in fact hii imeisha tayari.

Nazungumzia next season, kama wakimretain Cousins na akarudi kwenye form, bado watasumbua hata kama KD akiwepo.
 
OK sawa master.

Facts ni GSW ni three-points over-reliant team, nahii ni kutokana na aina wachezaji walio nao nature ya maumbili na wasioweza kupambana na watu walioshiba na wenye nguvu ndani ya D. hivyo huyu Dermacus wanamuhitaji sana akasaidiane na Green kama Durant ataondoka. Nakubali kweli watasumbua lakini yampasa awe sharp kama walivyowenzake.
 
Exactly, huo ndiyo mtazamo wangu kuwaza kwamba wanamhitaji.

Ukiangalia Iggy alikuwa anazifanya hizo kazi naye umri na majeruhi yanamkaba.
 
RAPTORS are more of a team this year their defense is [emoji817] offense drawings is [emoji485]
 
Bwana Mag3 mwenyeketi wa GSW fans, hakika upaswi kulalamika kwa mafanikio ambayo timu yako imeyapata kwa hii miaka 5 iliyopita. Kupata 3 rings tena dhidi ya Lebron, siyo kitu kidogo eti.
Duh, hata wewe umerudi! Kweli Warriors waliwapa kifungo watu kibao humu ndani, mpaka hata kunusa tu thread ya Basketball walikuwa hawathubutu. Labda na Raimundo naye atakuwa njiani, karibuni sana tena na safari hii nawaomba tafadhali sana mtulie, msije mkaanza tena zile hadithi zenu!

LeBron tulipomnyang'anya kwa mara ya kwanza, jamaa alilia kama mtoto mdogo hadi ikabidi tumtulize kidogo mwaka uliofuata kwa kumuachia angalau apumue kidogo. Hatukusita kumnyang'anya tena kelele zake zilipozidi ikabidi akimbilie kwa ndugu zetu Lakers. Huko nako hatukumpa hata nafasi ya kupumua...masikini LeBron!

Leo eti ushabiki wenu umehamia kwa Toronto! Watu kweli mna roho ngumu, who in the world are Raptors? Kahwi tuliyempiga akiwa San Antonio au Ibaka aliyeikimbia OKC bila kuaga baada ya kile kichapo! Mnasahau, eh! Mimi roho hata hainiumi, jina Warriors tu lilikimbiza watu humu na kubaki tu wakichungulia kutoka mafichoni. Acheni hizo...ha ha haaa!

...it aint over till it's over!
 
Kawhi hamkumfunga, mlimuumiza.

Kawhi hamkumfunga, mlimuumiza.
Ndio maana naipenda Warriors, wakifungwa hawatafuti visingizio mara oh, wachezaji wetu wameumia na upuuzi mwingine. San Antonio ilikuwa hivyo hivyo, CAVs hivyo hivyo...pamoja na hayo kwenye hiyo video hawasemi Kahwi alikuwa injured, wanasema alikuwa reinjured ikiwa na maana alikuwa hajapona kabisa baada ya kuumia awali! Je miaka ya nyuma 2015 na 2016 hakucheza?
 
2015 walitolewa na Clippers first round.
 
[QUOTE="Don Clericuzio, post: 31760890, member: 467482"

[/QUOTE]

Angalia na hii 2016, Spurs wakiwa full strength na Kahwi ndani...

Hii ni regular season.

Na hii ndiyo timu iliyofungwa baada ya kutangulia 3 - 1.
 
Back
Top Bottom