mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
70th anniversary imetulia sana kuliko model zote!Waiongezee stability tu. Maana ukikunjuka inaogopesha mno.
Hii ni observation yangu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
70th anniversary imetulia sana kuliko model zote!Waiongezee stability tu. Maana ukikunjuka inaogopesha mno.
Hizi ndo DP World walipaswa kuwapa kina Msukauma sasaBaada ya kukaa sokoni kwa takribani miaka 14, replacement ya Land Cruiser Prado 150 series imeanza kunukia baada ya Lexus kuweka hadharani toleo jipya la Lexus GX ya mwaka 2024.
View attachment 2652502
Lexus GX na LC Prado ni basically two versions of the same car, kutokana na kushare vitu vingi, kuanzia chassis, body, some suspension components na vingine vingi. Kwa kifupi, hautakosea sana ukisema Lexus GX ni luxury version ya Prado.
View attachment 2652543
Japo, binafsi, sijapenda huu muonekano mpya wa Lexus GX, nategemea Prado itakuwa na muonekano kama huo huku kukiwa na tofauti kidogo kwenye baadhi ya maeneo, kama ilivyokuwa kwa Lexus LX600 na LC300.
View attachment 2652555
View attachment 2652557
View attachment 2652559
Naunga mkono.70th anniversary imetulia sana kuliko model zote!
Hii ni observation yangu!!
Naona kwa mbaaali kama walikuwa wanataka kuchanganya na muundo wa land rover
Kuna uwezekano wa TOYOTA kutoa product line ya PRADO kwa ajili ya ku compete na Brands nyingine kubwa kama FORD BRONCO, JEEP WRANGLER, RUBICON...Source autoevolution: cars & moto news and vehicle specifications
View attachment 2668714
Hivi ni Nissan wana model gani kwenye hiyo class? Au Pathfinder?
waSitakufa mpaka nimiliki kati ya haya:
Prado hizi mpya za kisasa
Hilux hizi mpya za kisasa
Ford ranger
Volkswagen amarok
N.B
Hii volkswagen amarok mpya ya msouth hivi mmeiona?
Wameshare vitu na ford ranger, chuma kimetulia balaa
Zinapiga chini Sana ..usiwahi jaribu fata probox na Prado utalala milelePrado ndio gari bora kwa kila aina ya barabara ..
Daa! Hiyo pickup imekaa vizuri.Kuna uwezekano wa TOYOTA kutoa product line ya PRADO kwa ajili ya ku compete na Brands nyingine kubwa kama FORD BRONCO, JEEP WRANGLER, RUBICON...Source autoevolution: cars & moto news and vehicle specifications
View attachment 2668714
I hope suala la reliability litaendelea kuwa kwenye falsafa yao.Toyota ameamua
Eeh sahizi ni sport na utility tu.I hope suala la reliability litaendelea kuwa kwenye falsafa yao.