The 2024 Land Cruiser Prado Sibling is Finally Here

The 2024 Land Cruiser Prado Sibling is Finally Here

Baada ya kukaa sokoni kwa takribani miaka 14, replacement ya Land Cruiser Prado 150 series imeanza kunukia baada ya Lexus kuweka hadharani toleo jipya la Lexus GX ya mwaka 2024.
View attachment 2652502
Lexus GX na LC Prado ni basically two versions of the same car, kutokana na kushare vitu vingi, kuanzia chassis, body, some suspension components na vingine vingi. Kwa kifupi, hautakosea sana ukisema Lexus GX ni luxury version ya Prado.
View attachment 2652543
Japo, binafsi, sijapenda huu muonekano mpya wa Lexus GX, nategemea Prado itakuwa na muonekano kama huo huku kukiwa na tofauti kidogo kwenye baadhi ya maeneo, kama ilivyokuwa kwa Lexus LX600 na LC300.
View attachment 2652555
View attachment 2652557
View attachment 2652559
Hizi ndo DP World walipaswa kuwapa kina Msukauma sasa
 
1687029287296.png

Hii version ya PRADO pacha wa LC300 itafanya vizuri sana sokoni kuliko version nyingine zilizotangulia. Imefikia hatua baadhi ya mitandao kuweka battle la LR Defender vs Lexus GX

1687029592963.png


 
Kesho unakufa sasa
Sitakufa mpaka nimiliki kati ya haya:

Prado hizi mpya za kisasa
Hilux hizi mpya za kisasa
Ford ranger
Volkswagen amarok

N.B
Hii volkswagen amarok mpya ya msouth hivi mmeiona?
Wameshare vitu na ford ranger, chuma kimetulia balaa
wa
 
Nitanunua mwaka wa 2026 nikiona hazijawa yeboyebo kila kona [emoji23]
 
Hatimae, mzigo umefika.



bhuybwcy7cbfkvvoqy0y.jpeg


eoydxiodsrlkzbhml29z.jpeg


z13bmkqrxjyfchd9d6cz.jpeg


yipzgoig33bnle0naq1t.jpeg


yvzbo9utnauqvrrhufn7.jpeg
 

Attachments

  • cncy1wdtyczr8myaelrb.jpeg
    cncy1wdtyczr8myaelrb.jpeg
    79.2 KB · Views: 10
Back
Top Bottom