The 2nd 2013 Kenyan Presidential Debate.

The 2nd 2013 Kenyan Presidential Debate.

THE FACT: Kazi Kwa Vijana was investigated by the World Bank and given a clean bill of health!
 
Swala la rushwa linakuwa gumu maana anawarushia tuhuma, angewauliza watadeal vipi na rushwa hapo wangetiririka kama maji kwenye mito kipindi cha Elnino.
 
Swala la rushwa linakuwa gumu maana anawarushia tuhuma, angewauliza watadeal vipi na rushwa hapo wangetiririka kama maji kwenye mito kipindi cha Elnino.

Hahahah! Mwongoza mjadala yupo smart
 
Dida na tuhuma ya kusafirisha watu kwenda nchi za kiarabu, anakubali eti kenya inautajiri wa nguvu kazi

Anasema ni poa tu wende nje sababu ya mishahara duni na mazingira magumu
 
Dida anawajua wakenya, wanapenda mnoo kwenda abroad. Na yeye anajitetea ni kugrab any system ambayo inafaa. Sasa hata uarabuni kunafaa? Mweeh!
 
I love this session. Tz wakiwekwa wagombea wote chadema included hawataweza kuvumilia kashfa zao zilizopo! Wataanza character assassination hapo na pengine ku-storm out.
 
I like this debate..! Najaribu kufikiria if we have our own presidential debate wit Lowassa presenting ccm.. Na kashfa alizonazo duuh..
 
Dida anawajua wakenya, wanapenda mnoo kwenda abroad. Na yeye anajitetea ni kugrab any system ambayo inafaa. Sasa hata uarabuni kunafaa? Mweeh!
Namwona Peter Keneth wako anasema hana hatia ya rushwa, kweli hakukwapua pale KFF kama Ndolanga na Rage walivyokuwa wanakwapua pale FAT?
 
Tufahamishane wandugu kama mnavyojua...Tanesco Arusha ni zero kabisa!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
I like this debate..! Najaribu kufikiria if we have our own presidential debate wit Lowassa presenting ccm.. Na kashfa alizonazo duuh..

Hahahahahahah! Hiyo ikitokea basi itabidi mwendesha mjadala akodiwe toka nje au labda awe Jenerali Ulimwengu, manake waandishi wetu wengi ni wachumia tumbo!!
 
Mama kawatupia vigongo Mudavadi, Odinga na Keneth, mama hataki ujanja ujanja.
 
Uduak Amimo the host is on fire! She has dirt on every single one of......"YOUR TIME IS UP!"
 
They are being allowed to ask stinging questions touching on each other.
 
Back
Top Bottom