Hao wanaodai anamiliki ardhi nusu ya Kenya mbona hawaonyeshi hizo ardhi anazomiliki? Ni maneno maneno tu mpaka sasa.....talk about throwing everything but the kitchen sink.
Ha ha ha Nyani Ngabu.. Nimeona Uhuru aliomba Raila ataje 1 case ya ardhi ambayo inamuhusu Uhuru.. Mzee mzima kataka kuumbuka.. Kabaki ku-generalize..
Hivi kuna ugumu gani kwa uhuru Kenyata kusema kiasi cha ardhi ambacho familia yake inamiliki
Dida anamning'iniza ishu ya ardhi Kiambuu ambako Uhuru anatoka
Uhuru anazunguka zunguka tu
Hapa kwangu mimi amechemka
Nothing damning so far about that perceived land issue.
Wakenya wameonyesha ukomavu wa hali ya juu katika mdahalo wa leo.
Kwa nini yeye tu aseme? Kwa nini wote wasiseme ili iwe fair kwa wote.
Na wanavyoifanya iwe ni kama vile ni jinai kumiliki ardhi.
uhuru ishu ya ardhi imemkalia vibaya! Lakini mbona hazungumzii uhalisia wa ardhi wanayomiliki?
Yaani Startimes wamejua kunicheza shere.. Nimelipa jana na ikawa inaonyesha vzuri.. Leo nimewahi kurudi hapa ili niangalie debate channel imeandika "No access - Not subscribed"..! Nimewapigia customer care wananiambia nisubiri within 24 hrs itarudi..! Ati kulikuwa na tatizo..! Damn... Debate ya kwanza niliangalia nusu Tanesco wakakata umeme..!
Tanzania niishio mie imetofautiana kidogo na jehanum tulioandaliwa wakosaji siku ya kiama...
Yeah jamaa ana utetezi kwamba karithi tu lol
Bhana, muhimu aseme ukweli kama anamiliki nusu ya nchi au la!!
So far nobody is burying Uhuru on landholding,phew....had these guys come unprepared or maybe he threw them offkey by saying he will not attend the debate?
Ipo hivi angejibu swali lake na aulize swali kwa wenzakeKasema hamiliki nusu ya nchi. Au hamjamsikia?
Na kwa nini wengine hawaombwi kusema kiasi cha ardhi wanachomiliki?