sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,540
- 9,473
Bado haujaisha ila ndio wanamalizia, amia Citizen utaona
Startimes wamenifanyia uhuni yaani.. So nilikuwa ninategemea TBC tu hapa.. Kilichowafanya na wao wakate sijui kitu gani.. Damn..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado haujaisha ila ndio wanamalizia, amia Citizen utaona
Tatizo ku pasta ushahidi ni Ngumu hakuna asijua Kuwa Kenyatta family wanamiliki arhdhi kubwaHivi kuna ugumu gani kwa uhuru Kenyata kusema kiasi cha ardhi ambacho familia yake inamiliki
Dida anamning'iniza ishu ya ardhi Kiambuu ambako Uhuru anatoka
Uhuru anazunguka zunguka tu
Hapa kwangu mimi amechemka
Tatizo ku pasta ushahidi ni Ngumu hakuna asijua Kuwa Kenyatta family wanamiliki arhdhi kubwa
Dida hana hata ndugu na jamaa wa kuuza sura nao?!?
Kheee...hujawaona wale wamama wawili waliovaa ushungi mweupe? Nadhani ni wake zake wale...
Dida hana hata ndugu na jamaa wa kuuza sura nao?!?
Yeye kasema kwamba mambo yote iko wazi kwa ofisi ya Tume ya Maadili ya kwao. Ambapo utangaza mali zao wanazomiliki.
Kumbuka lakini kasema pia wana ekari elfu 30 pale Taveta!!
Kiswahili likuja na meli. Nguma sana sema na luga i. lol
Huku kwetu nilianza kunogewa na huo mdahalo mara Tanesco wakachukua umeme wao mpaka sa hii ni giza totoroYaani Startimes wamejua kunicheza shere.. Nimelipa jana na ikawa inaonyesha vzuri.. Leo nimewahi kurudi hapa ili niangalie debate channel imeandika "No access - Not subscribed"..! Nimewapigia customer care wananiambia nisubiri within 24 hrs itarudi..! Ati kulikuwa na tatizo..! Damn... Debate ya kwanza niliangalia nusu Tanesco wakakata umeme..!
Tanzania niishio mie imetofautiana kidogo na jehanum tulioandaliwa wakosaji siku ya kiama...
Ana wake 3 kidume
............si ndio akili zinakuja, Jk mwiteni majina yote Vasco, Dhaifu etc, lakini kuhusu uhuru wa vyombo vya habari, tutamkumbuka.???TBC, duh mbona huwa wanaacha kuonesha yanayotuhusu kwa nini kukimbilia ya Kenya?
...........Kiagata, MaraLol...kila mtu naona analalamikia umeme wa TANESCO. Kwani mnaishi wapi nyinyi?
...........nimependa sana hii, lakini wa tz wanaogopa kufinyanga kingereza......Martha Karua: "Nimerisugumsia hiri swari dani ya buge mara migi"
...........ndugu yangu Nyani, nini kigeni kwako ama ni ushabiki tu? hujui nini kuhusu Kenyata (baba) alivyotaifisha ardhi ya wakoloni by then na kujimilikisha? hiyo ndiyo Kenyata (mtoto) anayosema amerithi, ekari zaidi ya laki tano, wengine hawana hata plot, halafu wewe unataka uwaongoze hawa, sijui ni busara gani inayomuongoza huyu tajiri wa 23 Africa (Kenyata-mtoto)...Kwa nini yeye tu aseme? Kwa nini wote wasiseme ili iwe fair kwa wote. Na wanavyoifanya iwe ni kama vile ni jinai kumiliki ardhi.
Kheee...hujawaona wale wamama wawili waliovaa ushungi mweupe? Nadhani ni wake zake wale...
By the way sijaangalia TV hakuna umeme umekatika, Mudavadi amesema nini kuhusu Uhuru any attack? Especially kwenye land issue?