Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru kwa issue ya ardhi nd'o kawatoka hivyo,na wasipokaa vizuri anatumbukia ikulu kiulaini.
He who alleges must prove...unfortunately it doesn't work like that in politics.
Naona suala la ardhi linamlenga Uhuru na family yake tu....
Badala ya wagombea kuelezea sera zao katika ardhi wakiingia madarakani....Wao wanazungumzia ardhi ya Uhuru na familia yake....
Uhuru has an edge aisee. The guy is fluent and can express himself very well even when he is on the back foot. The land issue was his the biggest arsenal the opposition had, lakini jamaa alivyoipunch kitaalamu ni noma. He made a good impression on me overall.
However design wanaogopana hawa jamaa. With the exeption of Dida, everybody else seems to choose thre words carefully especially while addressing the big dogs.
I liked it when Uhuru asked Odinga to mention 1 court case inwhich he is accused, and Odinga changed his statement to say it's the running mate who has a case. So it's them. The crowd had to laugh!
Hahahahahahah! Hiyo ikitokea basi itabidi mwendesha mjadala akodiwe toka nje au labda awe Jenerali Ulimwengu, manake waandishi wetu wengi ni wachumia tumbo!!
Lol...kila mtu naona analalamikia umeme wa TANESCO.
Kwani mnaishi wapi nyinyi?
Bongo hii Labda ulivyosema Jenerali Ulimwengu lakini waliobakia MMH
Hawa wakenya mdahalo wa kwanza waliokuwa very serious na hawa pia walikuwa very smart
Na Tiddo Mhando anaweza kuendesha mdahalo.. Na hivi alivyokuwa na hasira na jamaa.. Ila ninachokiona kwa wenzetu Kenya hata watangazaji wa kawaida wa Television unawaona wana kitu ambacho watangazaji wa kwetu hapa hawana.. Labda kwa vile kwao utangazaji ni profession tofauti na hapa kwetu FirstLady1..
Noted Mkuu sosoliso Ukweli hawa jamaa startimes wanakera sana. Ila back to the topic debate ya leo imegeuka "mahakama" kimtindo....
Na Tiddo Mhando anaweza kuendesha mdahalo.. Na hivi alivyokuwa na hasira na jamaa.. Ila ninachokiona kwa wenzetu Kenya hata watangazaji wa kawaida wa Television unawaona wana kitu ambacho watangazaji wa kwetu hapa hawana.. Labda kwa vile kwao utangazaji ni profession tofauti na hapa kwetu FirstLady1..
Ni bora kujadili yanayokukera kuliko kuyaweka moyoni wameweka wazi hisia zao kuhusu swala la Ardhi ambalo ni tatizo kubwa KENYA lazima waeleze wananchi nini watawasaidia pindi wakipata uongozi.Kiaje ndugu yangu MSeush?. Mimi naona tu ni siasa at best, they are talking about policies and issue rather debate ime-turn out kuwa personal and family issues zaidi
Sasa wanajadili kima cha chini mishahara. Dida anshangaa mishahara mikubwa ya viongozi wa siasa.
Hapa ukimuuliza Kibonde amesomea wapi tasnia ya utangazaji atakujibu ni kipaji...
Puumbav