The 3 Things Love Is NOT

The 3 Things Love Is NOT

Well, the Finest, you have barely touched the point.....................the truth of the matter is LOVE is not:-

1) adultery

2) fornication

3) sodomy........................................

hayo mengineyo uliyoyataja they are just minor issues........................
Nashukuru Ruta kwa kuongezea hayo especially hiyo namba mbili
 
mimi no more love for me ni kugonga na kusepa tu kwahiyo hata sijakusoma
 
you have hit the point though the third point mh!!!!! anyway that is it, i wonder mbona hukuweka hii post tangu juzi!!! love you too
 
love love love everyone talk about love.............tel me freind what is love my side i dont understand and i dont want to accept it. pleaz explain it for me.
sababu hujatulia. leo hapa kesho pale utajuaje maana ya Love? or simply to say you are a baby with people, once you grow up you will know.
 
you have hit the point though the third point mh!!!!! anyway that is it, i wonder mbona hukuweka hii post tangu juzi!!! love you too
Mkuu the third one vipi it's tough eheee??
 
The thing is love is not alwayz the same buddy. Watch out though...........
 
Ahsante sana kwa hili somo TF!
Laiti vijana wote tungejengwa kwenye kuelewa haya...
Penzi lingekuwa sehemu pekee ya kukimbilia kama tumaini la mwisho...
Tunao amini katikahayo tunaonekena kama "majuha" vile...

Love u too bro
 
Kugonga na kusepa nako kuna mwisho wake ndugu. Ipo siku utachoka tu na utanasa mahali sasa hapo ndo utakisoma vizuri kilichoandikwa!

Umenikumbusha stori ya jamaa tulipiga naye college, alikuwa anajifanya ye mwamba wa mademu!
Hiyo siku ikafika akanasa kwa mcharuko mmoja hivi.... aisee ni alipelekeshwa mbaya kabisa....
Baadae ye ndio akaachwa afu huyo binti akachukuliwa na mshkaji ambaye tulimzidi "kidatu"....
Jamaa amgu alikuwa hoi mbaya alijifungia rum kwa wiki nzima bila kupanda "class" wala kwenda club..!
Just tukubaliane mapenzi hayana mjanja... kila mwamba utaanguka tu mbele ya "PENZI"
 
Ahsante sana kwa hili somo TF!
Laiti vijana wote tungejengwa kwenye kuelewa haya...
Penzi lingekuwa sehemu pekee ya kukimbilia kama tumaini la mwisho...
Tunao amini katikahayo tunaonekena kama "majuha" vile...

Love u too bro
Watu inabidi tujifunze kutokana na vitu tunavyokutanana navyo. One love bro
 
Nacheka ulipomwambia iko siku atanasa sehemu halafu ndio ataelewa vizuri

Ndo hivyo TF. Kama ilivyo njaa ambavyo haina baunsa basi na mapenzi ndivyo yalivyo! Alafu mbaya zaidi moyo huwa hauvungi, kwa hiyo hata mtu azunguke vipi ipo siku atadondokea tu kwa mtu flani na atazitafuta tu hizo 3 things plus all the blaaah blaaah of love!!
 
Umenikumbusha stori ya jamaa tulipiga naye college, alikuwa anajifanya ye mwamba wa mademu!
Hiyo siku ikafika akanasa kwa mcharuko mmoja hivi.... aisee ni alipelekeshwa mbaya kabisa....
Baadae ye ndio akaachwa afu huyo binti akachukuliwa na mshkaji ambaye tulimzidi "kidatu"....
Jamaa amgu alikuwa hoi mbaya alijifungia rum kwa wiki nzima bila kupanda "class" wala kwenda club..!
Just tukubaliane mapenzi hayana mjanja... kila mwamba utaanguka tu mbele ya "PENZI"

Haya mambo ndo yalivyo ndugu yangu. Mioyo yetu imejaa nyama na sio chuma, mtu anaweza kujifanya mgumu weee lakini baadae analainika mbonaa! Kama alikuwa muongeaji anakuwa bubu ghafla, machoni anakuwa haoni kitu na kusikia ndo anakuwa hasikii kabisa chochote zaidi ya huyo alomnasa!!
 
Kama alivyoongezea Ruta kwa kusema Love is not Adultery, Fornication and Sodomy
 
Back
Top Bottom