The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
- Thread starter
-
- #21
Nashukuru Ruta kwa kuongezea hayo especially hiyo namba mbiliWell, the Finest, you have barely touched the point.....................the truth of the matter is LOVE is not:-
1) adultery
2) fornication
3) sodomy........................................
hayo mengineyo uliyoyataja they are just minor issues........................
sababu hujatulia. leo hapa kesho pale utajuaje maana ya Love? or simply to say you are a baby with people, once you grow up you will know.love love love everyone talk about love.............tel me freind what is love my side i dont understand and i dont want to accept it. pleaz explain it for me.
Huyu dogo tangu agradyueti fom siksi, tunamkoma kwa ung'eng'e wake...........Nimeelewa 'love you all' tu! Kikristo kigumu.
Mkuu the third one vipi it's tough eheee??you have hit the point though the third point mh!!!!! anyway that is it, i wonder mbona hukuweka hii post tangu juzi!!! love you too
Huyu dogo tangu agradyueti fom siksi, tunamkoma kwa ung'eng'e wake...........
Huyu dogo tangu agradyueti fom siksi, tunamkoma kwa ung'eng'e wake...........
mimi no more love for me ni kugonga na kusepa tu kwahiyo hata sijakusoma
Hahaha!!! LolKugonga na kusepa nako kuna mwisho wake ndugu. Ipo siku utachoka tu na utanasa mahali sasa hapo ndo utakisoma vizuri kilichoandikwa!
Hahaha!!! Lol
Nacheka ulipomwambia iko siku atanasa sehemu halafu ndio ataelewa vizurimmmmh! TF unacheka au unanicheka?
Kugonga na kusepa nako kuna mwisho wake ndugu. Ipo siku utachoka tu na utanasa mahali sasa hapo ndo utakisoma vizuri kilichoandikwa!
Watu inabidi tujifunze kutokana na vitu tunavyokutanana navyo. One love broAhsante sana kwa hili somo TF!
Laiti vijana wote tungejengwa kwenye kuelewa haya...
Penzi lingekuwa sehemu pekee ya kukimbilia kama tumaini la mwisho...
Tunao amini katikahayo tunaonekena kama "majuha" vile...
Love u too bro
Nacheka ulipomwambia iko siku atanasa sehemu halafu ndio ataelewa vizuri
Umenikumbusha stori ya jamaa tulipiga naye college, alikuwa anajifanya ye mwamba wa mademu!
Hiyo siku ikafika akanasa kwa mcharuko mmoja hivi.... aisee ni alipelekeshwa mbaya kabisa....
Baadae ye ndio akaachwa afu huyo binti akachukuliwa na mshkaji ambaye tulimzidi "kidatu"....
Jamaa amgu alikuwa hoi mbaya alijifungia rum kwa wiki nzima bila kupanda "class" wala kwenda club..!
Just tukubaliane mapenzi hayana mjanja... kila mwamba utaanguka tu mbele ya "PENZI"
Kama alivyoongezea Ruta kwa kusema Love is not Adultery, Fornication and SodomyHaya mambo ndo yalivyo ndugu yangu. Mioyo yetu imejaa nyama na sio chuma, mtu anaweza kujifanya mgumu weee lakini baadae analainika mbonaa! Kama alikuwa muongeaji anakuwa bubu ghafla, machoni anakuwa haoni kitu na kusikia ndo anakuwa hasikii kabisa chochote zaidi ya huyo alomnasa!!