The 5 Richest Tanzanians You've Never Heard Of

KITAIFA

...baada ya kuangalia nafasi zao kifedha, ufanisi wa kampuni zao katika soko la hisa, mfumo wa wanahisa katika soko la hisa na mtiririko mzima wa fedha katika akaunti zao kwenye benki mbalimbali.


Hao waandishi wanaweza kuonekana fake kwa kuandika habari na kuipamba na uongo ndani yake. Sijui ni kampuni gani kati ya makampuni yanayomilikiwa na hao matajiri yameorodheshwa kwenye soko la hisa liwe la Tanzania au ya nje ya Tanzania maana makampuni ya hao matajiri naweza kusema yote ni private companies, sasa wameangaliaje mfumo wa wanahisa katika soko la hisa?
 
Is this comment or repeatition. Sijaelewa!.
 
Mbona Rizmoko simuoni kwenye list?
 
Yaani tajiri wa kwanza Tanzania hana pesa za msanii wa Marecan. Kama Jay Z au P. diddy. Kazi kweli kweli.
 
Mabilionea wa Ukweli wameweka pesa zao Uswizi. wengine hawa ni danganya toto tu. jamani msitutoe kwenye mada nyie waandishi wa habari.
 
Utajiri wa rostam ni wa kisiasa na umechangia kutorosha mapato ya serikali. Dili za caspian Migodini zinaenda kisiasa siasa tu, vodacom kutokuwepo kwenye makampuni 10 yanaoongoza kwa kulipa kodi mwaka jana hainingii akilini wakati Airtel wenye wateja wachache wamo kwenye listi.
 
Hapa bongo kuna wafanyabiasha wengi hawajulikani lakini wanazo kuliko hata bakhresa.
 
hizo ni official figures bado zile hela za kuchakachua ambazo TRA hawazijui mimi ninaamini bakhresa is way worth more than $620million
 
hili gazetio nalo limekuwa kimeo sana aise!
 
They are rich in our own way, they are not in the Forbe's list of Billionaires. To qualify in forbes list you should have at least 1B US$. This is indicative that we still have along way to go, entrepreneurship among the people need to be invigorated.
 
ndiyo huyo huyo zamani tulikuwa tunawaita mabota!

Du Mie Nilikuwa namchukulia Poa kumbe ni miongoni mwa mabillionea TZ? Lazima Kuna mkono wa Mafisadi wamewekeza Pesa,Kwasababu Tenda Nyingi Sana za Uchapaji alikuwa anachukua Huyu Mtu,Issue Nyingi za IT za Sirikali alikuwa nachukua,Kuna Mkono wa Fisadi si Bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…