The 5 Richest Tanzanians You've Never Heard Of

Sasa tunaweza kujua kwa nini Vodacom hawapo kwenye top 10 ya walipa kodi. Shemeji ana 35% share! Hiyo ndo Tanzania
 
Gulam Dewji ndo Mohammed "MO" Dewji??
 
Takwimu fake haiwezekani mimi nisiwemo humo
 
mbona watanganyika ni wawili tu.
mengi na mafruki.

Umemsahau DEWJI ni MTANGANYIKA wa SINGIDA... kaanzia MBALI sana BABA yake MBUNGE DEWJI...
Na Hajakimbilia NJE kama KAKA ROSTAM
 
Mengi alikuwa anaingia mwenyewe front, hana tofauti na AM. Labda si Mchaga!.
 
Yawezekana Bakhresa ndio ameandikwa kwenye FORBES lakini aliyeandikwa ndani ya mioyo ya Watanzania ni Reginald Mengi. Unapokuwa tajiri waangalie na wanaokuzunguka katika mahitaji yao nawe utaandikwa kwenye jarida la maana zaidi ya FORBES, MOYO

Hata kwenye HILO GAZETI VENTURES AFRICA walikua pina na PICHA ya MENGI nikaiondoa... SIJUI wanamaana GANI
Nimewaandikia kuwauliza...
 
Duh mfumo kristo unafanyakazi..............
 

Oh yeah YAKO kwenye STOKE EXCHANGE ndio Maana nimetafuta ya KIINGEREZA wana WEBSITES za MAKAMPUNI yao
MENGI yeye yuko kwenye NASDAQ kwenye hio kampuni yake ya DHAHABU - I was shocked na Unaweza kununua HISA

NDIO Maana nadhani akiendelea HIVYO atakuwa # 1; GOLD bado inatrade JUU YA US DOLLARS ni MIAKA 6 sasa toka UCHUMI wa DUNIA UANGUKE OUNCE MOJA TU YA GOLD sasa hivi ni $ 1,746.11 ni tishio na Miaka 5 wakati OBAMA anachukuwa URAIS ilikuwa ni $ 320.00 tuu...

NDIO HAPO SASA TUNGEKUWA MATAJIRI HASWA lakini MKAPA kasaini MIKATABA ya asilima 3 tu na hakuna kutozwa KODI Katuua kabisaaaa
 

Mkuu utakuwa umenisaidia sana ukinipa jina/majina ya hayo makampuni ya kitanzania yanayo trade kwenye masoko ya hisa ya nje ukiacha Africa Barrick Gold ambayo ipo listed LSE.
 
Kati ya hawa mabilionea watano, nani analipa kodi kama inavyotakiwa? sikumbuki kuwaona kwenye ile list ya walipa kodi iliyotolewa hivi karibuni na TRA.
 
Mbona Rizmoko simuoni kwenye list?


waliotajwa hapo juu utajiri wao ni halali na wameusotea, sio wa kupigiwa pande au kulimbikiza mali za walalahoi kisa una cheo seikalini
 
Mimi ni Tajiri kuliko wote na sababu ninaye YESU (Bwana na Mwokozi wa maisha yangu). Amen

Unacheza, hapa tunaongea ya kaisari hatuongei ya mungu, au hilo hulitambui?
 
He has a point. Waislamu ndio matajiri wakubwa nchi hii.
hata mimi nakubari.ila nanyi waislamu pia mnatakiwa kukubari ukweli kuwa wasomi wengi walioshikilia nafasi nyeti nchini ni wakristo.period:A S 11:
 
Utajiri wa bakhresa unatokana na kuwq ni mfanyabiashara aliyesajiliwa Zanzibar na inakadiriwa kuwa hulipa kodi ya kiasi cha Milioni 600 tu kwa SMZ na TRA haipati kitu kwa kuwa amesajiliwa Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…