Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Wewe na wanaokuzunguka mmeambulia kitu? Issue ya maana unaleta ujingaNa anapoandika kwa lugha ya "yai"anafikiri yule jamaa wa "elimu ya hapa na pale" ataambulia kitu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na wanaokuzunguka mmeambulia kitu? Issue ya maana unaleta ujingaNa anapoandika kwa lugha ya "yai"anafikiri yule jamaa wa "elimu ya hapa na pale" ataambulia kitu?
Mhhh "Kimepimwa" halafu ni "Magumashi" haviendi pamoja kwa uelewa wangu kupimwa ndiko kunakouondoa huo umagumashiAli Mafuruki ni mnafiki anapiga yowe coz anajua amejenga viwanja vya wazi na kwenye mkondo wa mto,infotech japo kiwanja kimepimwa lakini ni magumashi kipo sehemu ya maji...Avunjiwe ye si alikuwa Ana support ccm? Avunjiwe tu.
Mkuu unahangaika sanaHuu ni Ubinafsi mkubwa sana wa Ali Mafuruki na sababu kubwa ya yeye kuandika hivi ni kwamba ni mfaidika wa land grabbing anamiliki jengo la Infotech pale Kawe Mlalakuwa karibu na roundabout ambalo kwa hali ya kawaida halikupaswa kuwepo pale, hivyo siyo kwamba ana machungu na WatanZania wa Mabondeni bali ana machungu na mali yake!
Ningewaomba sana WatanZania mtenganishe watu waliokweli Wazalendo na wanaofanya fanya mambo kwa kusukumwa na utu dhidi ya wale ambao kama Ali Mfuruki ambaye ni muathirika na anafanya mambo kwa ajili ya maslahi yake binafsi, laiti kama asingekuwa muathirika angekuwa wa kwanza kushabikia hii bomoa bomoa!
Nasema BOMOA!
Sio ujinga,ila kwa akili za hapa na pale ndio unaweza kuona ujinga.sasa tusipoambulia kitu tutawezaje kuchangia issue na hii ni open and free forum?na pia tuna wabunge viongozi wetu kama wabunge sio wote wanaoielewa fluently(na sio lazima kuielewa sana kwa kuwa sio lugha ya taifa)na iwapo makala husika hawajaielewa wanawezaji kunyonya humo vitu vya maana ili wakajenge hoja huko?Usipanick mkuu,mwiba ukikuchoma uchomoe songa mbele.Wewe na wanaokuzunguka mmeambulia kitu? Issue ya maana unaleta ujinga
Kwa kweli maamuzi ya bomoabomoa ni doa kubwa kwa Serikali ya Magu. Wanataka kumwaribia!!. Katika Jiji la New Delhi kuna malazi yasiyo rasmi (slams) yapo karibu kabisa na Ubalozi wa marekani, yaani pua na mdomo lakini serikali ya India imewaacha hapo wakiendelea na maisha yao, walichofanya ni kuboresha slam hiyo na wananchi ambao ni maskini kabisa wanaishi hapo. Kuna documentary moja nilioona nadhani aljazeera au BBC jinsi serikali ya Colombia inavyoboresha slams zilizopo milimani na mabondeni katika Jiji la Bogota. Wameboresha slams kwa kujenga barabara za kisasa za juu na chini za magari na treni (metro) pia wameweka escalators pamoja na lift ambazo zinasaidia slam dwellers. Nikipata hiyo documentary nitaweka hapa. Aidha, jirani zetu Kenya tumeona walivyofund project kubwa ya kuboresha kibera slam ata UHURU kenyata alikwenda kufungua project hizo huko kibera, ambazo ziliboresha kibera kwa kujenga miundo mbinu. Serikali Makini duniani azidemolish makazi ya watu maskini waliojenga holela (slams) lakini uboresha na kuyafanya kuwa makazi salama na ya kisasa na rasmi. Watu zaidi ya 200,000 ni wengi mno!, huu ni mtaji tosha wa kura! We have to use common sense sio nguvu nyingi!Hawa jamaa hawatumii brain zao ku-tame nature bali wanatumia zaidi brain zao kuua upinzani kwa faida yao.
Wanapoenda kwenye nchi za wenzetu wanapaswa kujifunza na kuiga yale yaliyo mazuri na kuyaleta hapa nchini.
Nini faida ya viongozi wetu kupata exposure za kila siku kama zinakuwa hazina tija?
Akili ndogo plus chuki dhidi ya wenye nacho ndo inakusumbua. Walioziba njia ni matajiri au masikini ambao ndo wamejenga kwenye maeneo yasiyo pimwa? Hakuna anayepinga kubomoa baadhi ya structures ili kupisha shughuli za maendeleo. Hoja ya Mafuruki ni kujaribu kuangalia sababu hasa ya bomoa bomoa inayo endelea .Anasema solution siyo kukimbia maji bali kuyatengenezea njia nzuri ya kipita. Soma vizuri uelewe hoja ya msingi.
Wewe na Mfuruki wote ndiyo hamna akili! Ila nina wasi wasa Mfuruki amekuzidi akili kidogo kwa maana unashindwa kuelewa anachotetea nini, Mfuruki anateteta Mali zake, Jengo lake ambalo amelijenga sehemu isiyo ruhusiwa sasa sijui wewe unateteta nini?!
Uliona wapi Dunia hii watu wanajenga kwenye njia asili za maji halafu wanasema suluhisho ni kuyatafutia Maji njia nyingine? Hiyo ni akili au matope? Hata wanyama wanaelewa kwamba huwezi kucheza na nature!
Hivi unaelewa kwanza hata geografia ya Mji wa Dar ilivyo? Unafahamu Maji huwa yanatoka wapi na yanakwenda wapi? Na Wazungu ambao wana uzoefu na mafuriko nchini mwao waliku ni wajinga walivyoweka Mito yote kwenye ramani? Na unafikiri msemo wa maji hufwata mkondo wake hauna maana yoyote?
Ile ni komoakomoa sio bomoabomoa nyie hamjaelewa somokama nchi tunaenda kuingia kwenye chumi mkubwa wa gesi na mafuta mtwara na lindi, pamoja na majiji na miji yote bila kuandaa master plan na kudesign miji kwa viwango vya treni za umeme, underground tunels flyovers, skyscropers,8lanes highways, basi hiyo gasi na mafuta si mali yetu. tunawatunzia wenye nayo. nilitaraji lukuvi aje na mkakati wa kureview master plan za miji, kudesign masatelite city, badala ya kuhangaika na bomoabomoa ambayo haina manufaa wala mkakati wa uendelazaji sehemu zilizobomolewa,
Kimepimishwa kimagumashi kwa kupindisha sheria,ukiwa na pesa kwa serikali iliyopita unakuwa juu ya sheria ona mwanasheria wa NEMC alivyolambishwa mchanga kwa kupindisha sheria.Mhhh "Kimepimwa" halafu ni "Magumashi" haviendi pamoja kwa uelewa wangu kupimwa ndiko kunakouondoa huo umagumashi
Kwa hiyo hata wazungu wote wakiamua kuwa mashoga na sisi tutaiga kwasababu inafanyika ulaya?Kabla ya kuiga lazima tutafakari mazingira na uchumi wetu unaruhusu hilo jambo?kwa mfano wa hiyo picha uliyoweka kwa Tz ikitokea janga hapo kwa ufinyu wa mbinu,vifaa na bajeti ya kukabiliana na majanga atapona mtu?View attachment 315932 We ni muongo hufai angalia hiyo picha ya Norway hapo ni meter ngapi toka mtoni huo mji unaitwa troneharm pale karibu na kanisani kama ulishafika Norway ni sehemu maarufu hapo kanisani.Mafuruki yuko sahihi asilimia 70
Kw
Kwa hiyo hata wazungu wote wakiamua kuwa mashoga na sisi tutaiga kwasababu inafanyika ulaya?Kabla ya kuiga lazima tutafakari mazingira na uchumi wetu unaruhusu hilo jambo?kwa mfano wa hiyo picha uliyoweka kwa Tz ikitokea janga hapo kwa ufinyu wa mbinu,vifaa na bajeti ya kukabiliana na majanga atapona mtu?
Angalia mipango ya miji mkuu katika hii link , , natumaini utajifunza kituKw
Kwa hiyo hata wazungu wote wakiamua kuwa mashoga na sisi tutaiga kwasababu inafanyika ulaya?Kabla ya kuiga lazima tutafakari mazingira na uchumi wetu unaruhusu hilo jambo?kwa mfano wa hiyo picha uliyoweka kwa Tz ikitokea janga hapo kwa ufinyu wa mbinu,vifaa na bajeti ya kukabiliana na majanga atapona mtu?
Kaka mimi mwenyewe ni Copy and Paste sijaelewa, na ndio maana naona wachangiaji wamekuwa wachache sana.Uzi mzuri, mada nzuri, ila lugha!. Mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni, kama wewe umeelewa anazungumzia nini, ukitutafasiria sisi wa kina St. Kayumba, tutakushukuru na kuchangia!.
Pasco
Angalia mipango ya miji mkuu katika hii link , , natumaini utajifunza kitu
Uzi mzuri, mada nzuri, ila lugha!. Mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni, kama wewe umeelewa anazungumzia nini, ukitutafasiria sisi wa kina St. Kayumba, tutakushukuru na kuchangia!.
Pasco
Huu ni Ubinafsi mkubwa sana wa Ali Mafuruki na sababu kubwa ya yeye kuandika hivi ni kwamba ni mfaidika wa land grabbing anamiliki jengo la Infotech pale Kawe Mlalakuwa karibu na roundabout ambalo kwa hali ya kawaida halikupaswa kuwepo pale, hivyo siyo kwamba ana machungu na WatanZania wa Mabondeni bali ana machungu na mali yake!
Ningewaomba sana WatanZania mtenganishe watu waliokweli Wazalendo na wanaofanya fanya mambo kwa kusukumwa na utu dhidi ya wale ambao kama Ali Mfuruki ambaye ni muathirika na anafanya mambo kwa ajili ya maslahi yake binafsi, laiti kama asingekuwa muathirika angekuwa wa kwanza kushabikia hii bomoa bomoa!
Nasema BOMOA!
hahah!
Mkuu Kibanga, baada ya kuweka Kimatumbi, angalau nimeambulia kitu.Kaka mimi mwenyewe ni Copy and Paste sijaelewa, na ndio maana naona wachangiaji wamekuwa wachache sana.