THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

[emoji1] [emoji1] [emoji1] Haikufikirika kama ingekuwa ndivyo ilivyo
Sio haikufikirika..... sema sisi ndo tuna kawaida ya kutoamini from zero to hero...

Ila ye mwenyewe alijua atakuja kuwa nani....

Sema akifirisika akawa kam mim ndo atakuwa accidentally broke
 
Ukinunua kalamu nyingine mzee nitag..
Kwa sasa natafuta maarifa kwenye nyuzi zingine.
 
[eQUOTE="Kichpox, post: 20147074, member: 417104"]Jarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho[/QUOTE]

We mtu gani unatusumbua afu kukwoti uzi mzima afu unaandika upuuuzi (magu wewe)
 
Jamaa alikuwa Genius niliona kwenye movie yake moja ingawa haikuwa na matukio mengi kama haya
Movie inaitwa social network. Ktk mahojiano Mark alikataa jinsi wafanyakazi walivyopatikana ktk hiyo movie haikuwa halisi na ilivyotokea chuoni.
Hii ilinipa point kuwa vitu vingi vilivyoigizwa vilikuwa na uhalisia
 
Jarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho
ww ni pumbavu una quote thread yotee ilii iweje sasa
 
ukiangalia hiyo movie iko na tofauti sana yaani mambo mengi wamepunguza na mambo wengi wameongeza, wamecheza kivyao vyao tu
 
Back
Top Bottom