StraTon MemPhis GhaZar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 592
- 387
Sio haikufikirika..... sema sisi ndo tuna kawaida ya kutoamini from zero to hero...[emoji1] [emoji1] [emoji1] Haikufikirika kama ingekuwa ndivyo ilivyo
"Angekuwa yupo Tanzania tungemjumuisha na kesi ya mmiliki wa jamiiforum"Aisee nimevutiwa na maisha na matukio ya mark hakika huyu jamaa anapaswa Kuigwa
Alafu na wewe sio una quote li stori lote hujui unatuchosha watumiaji wa simu??Jarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho
Jarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho
Itaendelea weekend hii
Movie inaitwa social network. Ktk mahojiano Mark alikataa jinsi wafanyakazi walivyopatikana ktk hiyo movie haikuwa halisi na ilivyotokea chuoni.Jamaa alikuwa Genius niliona kwenye movie yake moja ingawa haikuwa na matukio mengi kama haya
ww ni pumbavu una quote thread yotee ilii iweje sasaJarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho
ww ni pumbavu una quote thread yotee ilii iweje sasaJarib kua na ufupisho mkuu
Kunywa pombe,kunyanyuka kusogelea
Story ndeeefu inachoshaaaaa siamin kama kuna pple zimeisoma yote kama ilivo
Mwisho
namaanisha itakuwa ijumaaWeekend? Mkuu leo ni jumanne.
Movie inaitwa social network. Ktk mahojiano Mark alikataa jinsi wafanyakazi walivyopatikana ktk hiyo movie haikuwa halisi na ilivyotokea chuoni.
Hii ilinipa point kuwa vitu vingi vilivyoigizwa vilikuwa na uhalisia