The Art of the Deal: Trump kuanzisha chama chake ni akili kubwa na pigo kwa Republicans

Asante mkuu. Unamwaga Almasi na dhahabu kwa posts zako 💪🏼💪🏼💪🏼
 
1. I wish ungejua phenomenon inayoitwa globalization.

2. Biden hajagombea uraisi akitokea mwenye Mars.

3. Mungu huona mambo yote yajayo na hakuna kinachojificha kwake.
 
Trump atarudi kuwa rais 2024. Yeah right.
Aanzishe chama instantly kikubalike instantly apate kura instantly..
Wkt huo republican na democrats watakuwa wamesinzia sio? Goodluck with that.
Na kwa utaratibu wa US ulivyo,hicho chama kipya kitakuwa kama Birthday Party cha Kanye, mpaka uchaguzi unafika atajikuta anatokea kama mgombea kwenye ballots za majimbo 2 tu!
 
Washabiki wa Trump ni deplorables kweli
Eti raia wengi wa marekani kimewaumiza. Ww unajuaje? Unafikiri raia wa USA wanataka hizo kazi immigrants wanazifanya? Ni propaganda tu. USA bila immmigrants hakuna nchi. Acheni kushabikia shabikia tu vitu msivyovijua.
 
Walikuwa na App yao Playstore na Apple store inaitwa Parler.

Google wameitoa Playstore na Apple wameiondoa App store.

Hata media zinazomuunga mkono kama Fox news, Newsmax* akihama Republican sidhani kama zitakuwa naye.

Mpaka ikafikia stage, Eric akaanza kumshawishi Elon Musk eti aanzishe social network 🤣

Trump amezeeka, kina Rudy Gulian wanamdanganya wamfirisi.
 
Biden ni mliberali haishangaz kwa maamuz anayochukua na Trump ili afanikiwe ishu ya chama kipya inabid ahakikishe anashinda kwenye shutuma zinazomkabili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…