The Art of the Deal: Trump kuanzisha chama chake ni akili kubwa na pigo kwa Republicans

The Art of the Deal: Trump kuanzisha chama chake ni akili kubwa na pigo kwa Republicans

Yaani wazee wa conspiracy theory,biden ana hiv biden ana vile. Mtu hana hata mwezi kwenye urais?

Sa sikiliza kwanza ulichoandika hapo ninstory za kusadikika why?
Sababu kama ni ushoga.. wamarekani wenyewebhawana shida nao.. huo ushoga hauja wahi kuwashusha kiuchumi, hawajawahi kufilisika sababu ya ushoga.. america wanachoangalia ni qualification za mtu.. haijalishi ana jinsia iko kichwani.. kama yuko qualified anapewa nafasi.

Pili trump huo ushoga alifanya nn kuzuia? Kaukuta na kauacha. Hajawahi hata kupeleka mshwaada wa kupinga ushoga bungeni.

Umeandika as if ww ni member wa senate. Nani alikwambia asilimia kubwa ya budget ya america inakwenda kwa mashoga?
America inaspend largely kwenye military.. science and technology.. viwanda.. afya.

Hayo mengine ni ziada.

Mwisho tuwaache america kama walivyo. Wao kama ushoga hauwaathiri .. sis tunapiga kelele ya nini?

Tubaki na tamaduni zetu tulinde tamaduni zetu.. za kwao tuwaachie wenyewe.
Asante mkuu. Unamwaga Almasi na dhahabu kwa posts zako 💪🏼💪🏼💪🏼
 
1. I wish ungejua phenomenon inayoitwa globalization.

2. Biden hajagombea uraisi akitokea mwenye Mars.

3. Mungu huona mambo yote yajayo na hakuna kinachojificha kwake.
Yaani wazee wa conspiracy theory,biden ana hiv biden ana vile. Mtu hana hata mwezi kwenye urais?

Sa sikiliza kwanza ulichoandika hapo ninstory za kusadikika why?
Sababu kama ni ushoga.. wamarekani wenyewebhawana shida nao.. huo ushoga hauja wahi kuwashusha kiuchumi, hawajawahi kufilisika sababu ya ushoga.. america wanachoangalia ni qualification za mtu.. haijalishi ana jinsia iko kichwani.. kama yuko qualified anapewa nafasi.

Pili trump huo ushoga alifanya nn kuzuia? Kaukuta na kauacha. Hajawahi hata kupeleka mshwaada wa kupinga ushoga bungeni.

Umeandika as if ww ni member wa senate. Nani alikwambia asilimia kubwa ya budget ya america inakwenda kwa mashoga?
America inaspend largely kwenye military.. science and technology.. viwanda.. afya.

Hayo mengine ni ziada.

Mwisho tuwaache america kama walivyo. Wao kama ushoga hauwaathiri .. sis tunapiga kelele ya nini?

Tubaki na tamaduni zetu tulinde tamaduni zetu.. za kwao tuwaachie wenyewe.
 
Trump atarudi kuwa rais 2024. Yeah right.
Aanzishe chama instantly kikubalike instantly apate kura instantly..
Wkt huo republican na democrats watakuwa wamesinzia sio? Goodluck with that.
Na kwa utaratibu wa US ulivyo,hicho chama kipya kitakuwa kama Birthday Party cha Kanye, mpaka uchaguzi unafika atajikuta anatokea kama mgombea kwenye ballots za majimbo 2 tu!
 
Washabiki wa Trump ni deplorables kweli
Eti raia wengi wa marekani kimewaumiza. Ww unajuaje? Unafikiri raia wa USA wanataka hizo kazi immigrants wanazifanya? Ni propaganda tu. USA bila immmigrants hakuna nchi. Acheni kushabikia shabikia tu vitu msivyovijua.
 
Ww haujui historia ya Trump. Trump maisha yake anaanzisha vitu lakini mwisho vinafeli sana. Hakuna kitu kilichosimama. Hata assets na investments zake zimepoteza sana hela in recent years. Acheni kumsifia mtu msiyejua historia yake vizuri. Hata hicho chama HATAWEZA. Au amefikiria kufungua social media ya kupambana na Twitter waliomfungia. Hio nayo HATAWEZA.
Walikuwa na App yao Playstore na Apple store inaitwa Parler.

Google wameitoa Playstore na Apple wameiondoa App store.

Hata media zinazomuunga mkono kama Fox news, Newsmax* akihama Republican sidhani kama zitakuwa naye.

Mpaka ikafikia stage, Eric akaanza kumshawishi Elon Musk eti aanzishe social network 🤣

Trump amezeeka, kina Rudy Gulian wanamdanganya wamfirisi.
 
Baada ya vuta nikuvute kwa uchaguzi wa Marekani ni dhahiri kwamba tumeona Trump hakupewa ushirikiano na Chama chake cha Republicans, Sio Hivyo tu kwani tangu mwaka 1016 hadi 2018 chama hicho kilipokuwa kimeshukilia senate na house bado walikuwa ni mzigo kwa Trump.

Trump kaamua kuunda chama chake na kwa hali ilivvyo sioni kama atapata wakati mgumu kwa sababu Democrats watasapoti sana hiki kitu ili Republicans ipungue nguvu.

Ni Wamarekani zaidi ya milioni 80 wapo nyuma ya Trump, Huu ni mtaji tosha kwa Trump kuanzisha chama cha tatu Marekani chenye nguvu,

Kwa upande mwengine Biden anafanya mambo kwa pupa mno, Ana mpango wa kuruhusu maharamia wengi kuwa raia wa marekani kitu ambacho raia wa marekani kimewamiza mno, upande mwengine karuhusu wanaume waliobadili jinsia kuwa za kike waweza kuwa na haki za wanawake ikiwemo kushiriki michezo kitu ambacho kinapingwa vikali.
Biden ni mliberali haishangaz kwa maamuz anayochukua na Trump ili afanikiwe ishu ya chama kipya inabid ahakikishe anashinda kwenye shutuma zinazomkabili.
 
Back
Top Bottom