The Bachelor's Kitchen a.k.a Jiko la msela

uzi wangu wa miaka mitano iliyopoita mmeufufua.. I am no longer a bachelor.. married with 2 kids. kitchen imekuwa ya familia.....
 
duh! UMEPIGA FASTAAAA!
af ukatunyima mnutho!
nilikumindiiiiiiii!
 
uzi wangu wa miaka mitano iliyopoita mmeufufua.. I am no longer a bachelor.. married with 2 kids. kitchen imekuwa ya familia.....

Duh brother hongera sana aisee. Imagine since 2012 mimi bado niko single si gundu hili!??? Na wala sio kwamba nilikuwa mtoto maana kipindi hicho tayari nina miaka miwili mjini - kazini ! Nahisi kuna tatizo hapa.

King'asti ukigoma kuniombea itakuwaje sasa...ama wataka mdogo wako nibaki celibate?

snowhite hebu mtafute na gfsonwin mfanye maombi ya mfungo. Mkimpata na cacico nadhani maombi yatanoga...ila chungeni msiwe na mvinyo karibu maombi yasijeharibika.

Huenda soon na mimi nikaja na tangazo la kutafuta mchumba sasa....
 
wewe hata sio wa maombi..............
acha kuchunguza sana hakunaga malaika bhana........
unless uniambie pointer inashida
 
Asanteni mliochangia huu uzi na mnaoendelea kuchangia ingawa sio uzi wangu ila nimejifunza mengi, natamani picha 2 zingeongezeka
 
Hivi kwani kuoa ni lazima?
Hongera kwa walioa na kuolewa.
 
Back
Top Bottom