Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahhahhaha na hilo limekuponza kwa kweli!Shikamoo ticha.
mlipotelea wapi nyie!??
Shida ni kuwa muda mwingi nilikua nakaa na nyie..
hahahhhaa ila kweli!Mweeh. Wadada tulivyo desperate kuolewa hata na married men, asije akaenda mganga akampa dawa ya kuoa mtoto wa mganga. Ngoja niwaze mbinu mpya kwanza lol
Shikamoo ticha.
mlipotelea wapi nyie!??
Shida ni kuwa muda mwingi nilikua nakaa na nyie..
duh! UMEPIGA FASTAAAA!uzi wangu wa miaka mitano iliyopoita mmeufufua.. I am no longer a bachelor.. married with 2 kids. kitchen imekuwa ya familia.....
uzi wangu wa miaka mitano iliyopoita mmeufufua.. I am no longer a bachelor.. married with 2 kids. kitchen imekuwa ya familia.....
wewe hata sio wa maombi..............Duh brother hongera sana aisee. Imagine since 2012 mimi bado niko single si gundu hili!??? Na wala sio kwamba nilikuwa mtoto maana kipindi hicho tayari nina miaka miwili mjini - kazini ! Nahisi kuna tatizo hapa.
King'asti ukigoma kuniombea itakuwaje sasa...ama wataka mdogo wako nibaki celibate?
snowhite hebu mtafute na gfsonwin mfanye maombi ya mfungo. Mkimpata na cacico nadhani maombi yatanoga...ila chungeni msiwe na mvinyo karibu maombi yasijeharibika.
Huenda soon na mimi nikaja na tangazo la kutafuta mchumba sasa....