MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
- Thread starter
- #21
kwa kuongezea kwa King'asti, nunua deepfrier kwa ajili ya vyakula kaa chips na kuku,nk ambavyo utatosa kwa mafuta, hakikisha sufuria ni non sticky, na vyombo ni dish washing, usiache kununua axion kwaajili a kuoshea vyombo na pot scrubber.
coffee maker inakuhusu kwaajili ya kahawa ama chai, na salad maker hii itakusaidia kutengenezea salad has kwenye chopping, pia blender kwaajili ya juice. friji nunua yenye water dspenser ili ukwepe maji ya vichupa.
kwa kuhifadhi vitu kwenye jokofu nunua plastic tins, na fridge jug kwaajili ya juice. kama ni mtu wa berbcue nunua meat berbecue, na kama ni mpenzi wa chapati nunua frying pan ya umeme. egg boiler usisahau. nimesahau nini tenaa ngoja nikumbuke nitarudi kukwambia.
Thanks a lot sister, but kuna kifaa sikijui jina nilikiona uganda nahisi hata bongo kitakuwepo, yaan nilifika sehem mtu akaandaa supu ikaletwa ipo kwenye kitu kama rice cooker na ilikuwa imetoka nzuri kweli, now ndo nimekikumbuka but sikijui jina nashindwa nikakitafute vipi. Kama unafaham jina ya hiyo kitu msaada please. Shuran sana hizo non sticky sufuria hopin kuosha ni rahisi sana, what about kuunga mboga kwa urahisi kifaa gani muhim?
Last edited by a moderator: