The beauty and the ugly.

Mi nipo Mr. Rocky.
vipi weekend inaendaje?
kalala usjali waweza ongea kwa nguvu...

Weekend iko salama kabisa
Nashukuru kama na kwako iko salama
Afadhali amelala asije akashangaa kuna kidume kinammiss mtu wake
 
\


heeee.........kwenye ubwabwa!!!

huo mnazi wachanua,
huo mnazi wachanua,
wakati wa kuchanika,chanu chanu.......
Hiyo nyumba yabomoka,
hiyo nyumba yabomoka,
wakati wa kubomoka,
bomo bomoooooo
 
Weekend iko salama kabisa
Nashukuru kama na kwako iko salama
Afadhali amelala asije akashangaa kuna kidume kinammiss mtu wake

Ahhhh
Hivi hajakwambia kuhusu Open Relationship
Tuliyowekeana aee..

Nashkuru kusikia weekend yako
Iko poa kabisa..
 
QUOTE=afrodenzi;2765358]Ahhhh
Hivi hajakwambia kuhusu Open Relationship
Tuliyowekeana aee..

Nashkuru kusikia weekend yako
Iko poa kabisa..[/QUOTE]

Nimeisikia hiyo na ndo maana nasema kwa sauti
Nimekumiss sana aise
 
QUOTE=afrodenzi;2765358]Ahhhh
Hivi hajakwambia kuhusu Open Relationship
Tuliyowekeana aee..

Nashkuru kusikia weekend yako
Iko poa kabisa..

Nimeisikia hiyo na ndo maana nasema kwa sauti
Nimekumiss sana aise[/QUOTE]
Ukiona vinaelea vimeundwa haya sasa songa kule mbele kaunde vya kwako uanze kuviambia nimekumiss kabla haujateguliwa mshipa wa masaburi muda si mrefu
 

---hahahahahah!---
.....umenikumbusha mwj1 hapa
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/161353-kituko-harusini-2.html

 
QUOTE=afrodenzi;2765358]Ahhhh
Hivi hajakwambia kuhusu Open Relationship
Tuliyowekeana aee..

Nashkuru kusikia weekend yako
Iko poa kabisa..

Nimeisikia hiyo na ndo maana nasema kwa sauti
Nimekumiss sana aise[/QUOTE]

Ahhhh
Maisha vurugu mechi.
Ye akianza kutupanga hapo looh
Mara Iren, sjui Mwajuma, na huyo
Tina lohhhh chumba hakitoshi..

Mi nkisema ni me miss The One &Only
Captain Rocky makosi.. simwelewi..
 
Khaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…