The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
No Baby nilikuwa nakusubiria SugarCake, The Boss naona ndio yuko Mafia na Nemo....lolDahhh kumbe upo
Nlidhani umeenda Mafia island
Ku find Nemo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No Baby nilikuwa nakusubiria SugarCake, The Boss naona ndio yuko Mafia na Nemo....lolDahhh kumbe upo
Nlidhani umeenda Mafia island
Ku find Nemo..
yaani utanifata kabisa kwenye apartment yangu masaki,haile selasie rodi?
Nani kasema nimelala tena aombe nisisikie sauti yake
Mi nipo Mr. Rocky.
vipi weekend inaendaje?
kalala usjali waweza ongea kwa nguvu...
No Baby nilikuwa nakusubiria SugarCake, The Boss naona ndio yuko Mafia na Nemo....lol
Naogopa atasikia na itakuwa balaajust say it loud!
Weekend iko salama kabisa
Nashukuru kama na kwako iko salama
Afadhali amelala asije akashangaa kuna kidume kinammiss mtu wake
Tena umenitia hasira sasaNani kasema nimelala tena aombe nisisikie sauti yake
Unataka kulala stoo leo.....Jinsi mzinga ulivyo kukolea
Si dhani hata utasikia sauti yake..
QUOTE=afrodenzi;2765358]Ahhhh
Hivi hajakwambia kuhusu Open Relationship
Tuliyowekeana aee..
Nashkuru kusikia weekend yako
Iko poa kabisa..
Tena umenitia hasira sasa
Nasema kwa nguvu kabisa
AD nimekumiss sana sana dear
just say it,TF hana uwezo,halafu anataka kujishebedua na wanawake matawi kama Nemo na Kipipi,ataweza?atuachie sisi mapedeshee wa ukweli,kuhonga rav4 kwetu ni kama kumnunulia mwanao peremende.
yaani utanifata kabisa kwenye apartment yangu masaki,haile selasie rodi?
...ahahha na zile za .......Natambua uwepo wa Baba mzazi wa Bibi arusi,..Prof. Tilalila bin Mitungi. Yeye ni Profesa na PhD yake aliiichukulia kule Marekani![]()
Natambua uwepo wa Mama mzaa chema, Dr. Kiroba bint Nyagi, yeye aliishi Bradford kwa miaka saba,
Nisisahau uwepo wa Baba Mdogo wa Bibi Arusu, Dr. Ambari wa Achari, ni Dr. kwa Mwananyamala, yeye aliishi sana Ujerumani
Natambua uwepo wa Pro. Naniliu, yeye pia ni Mbunge wa Jombo la Naniliu
Bila kusahau Uwepo wa Mr. Kaka wa Braza, yeye ni jirani yake Profesa
Eh utadhani tuko kwenye mkutano wa kichama, kumbe arusi!!
QUOTE=afrodenzi;2765358]Ahhhh
Hivi hajakwambia kuhusu Open Relationship
Tuliyowekeana aee..
Nashkuru kusikia weekend yako
Iko poa kabisa..
Halafu unakuta Bishanga hana hata Scooter.
---hahahahahah!---.....umenikumbusha mwj1 hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/161353-kituko-harusini-2.html
KhaaaaaNimeisikia hiyo na ndo maana nasema kwa sauti
Nimekumiss sana aise
Ahhhh
Maisha vurugu mechi.
Ye akianza kutupanga hapo looh
Mara Iren, sjui Mwajuma, na huyo
Tina lohhhh chumba hakitoshi..
Mi nkisema ni me miss The One &Only
Captain Rocky makosi.. simwelewi..