The beauty and the ugly.

The beauty and the ugly.

ngoja nikamvurumishe huko aliko aje hapa
Ila nikikuta kufuli mlangoni nakaa kimya sitakuambia
hivi inawezekana,by any chance whatsoever,akawa anatoka na mtu? no waaaaaaaaaaaaaaay meeeeeeeeeeeeen!
 
Bora umesema wewe maana hapa na avatar ni vitu viwili tofauti
The Finest is not the Finest any more lol

acha kujipendekeza,kwa lipi hasa? kwanza anatuchukulia mabibi zetu.



Nyie hapo si tunadefine Avatar zenyewe, wee B' si ulisema akina baba hawajipendi, hufurahi angalau yeye anawakilisha! Or wataka ya Rejao??
 
The Finest ulikuwa ukiumwa?

Pole eee mtoto mzuri.

Kule kwetu tunasema ukiumwa maanake Mungu anakukumbuka
 
inawezekana proper definition yake ni 'kuwa the finest 'kwenye kukamatia warembo...
including kuibia watu mabibi zao...lol
Husninyo kanambia amechoka kuvumilia,hataki msongamano.
 
Where the ladies at jamani? Lol!!!


Nashukuru Mkuu hali inarudi kawaida sasa mimi hii picha yangu itabidi niipumzishe kwa muda


Sawa bwana brazameni Nick

umekuwa mpooooooooole , hahahahahaaaa, we lamba tu,ila avatar usibadili bila ruksa ya wahusika!
 
Nyie hapo si tunadefine Avatar zenyewe, wee B' si ulisema akina baba hawajipendi, hufurahi angalau yeye anawakilisha! Or wataka ya Rejao??
anawakilisha ma handsome au wapigaji?
 
usintishe kwani ana mapembe? achana na mzushi uporoto wa fantasy world,in real world huku mtaani kwetu msasani mandazi rodi umeolewa?

hehehe, uporoto ndio kila kitu kwangu. hapa nimekufa nimeoza nimebaki mifupa tu. lol
 
Asante Gaijin najisikia nafuu sasa kuna vidume vikiona hizi salamu zako za pole
vitaingiwa na wivu...lol

Vidume vya JF vilijishukuria The Finest anaumwa, walau na wao wakapata kupaishwa kidogo. Kwa umerudi na salam zimekuwa nyingi lazima wawivuke :]]
 
Boss muulize Bishanga anajua maana ya LAY LOW akiishajua mwambie yeye na Rocky wasiwe wanalalamika.....lol!
 
hivi inawezekana,by any chance whatsoever,akawa anatoka na mtu? no waaaaaaaaaaaaaaay meeeeeeeeeeeeen!

mara ya mwisho nilisikia fununu hizo sasa sijui kama ni kweli
ngoja niko njiani naenda kwake
 
Where the ladies at jamani? Lol!!!


Nashukuru Mkuu hali inarudi kawaida sasa mimi hii picha yangu itabidi niipumzishe kwa muda


Sawa bwana brazameni Nick

Umeanza sasa
kabla hata sijatulia ushaanza fujo zako
 
Back
Top Bottom