The beauty and the ugly.

The beauty and the ugly.

i am out jamani..
KIPIPI i hope no hard feelings,nothing serious,just chit chat..

Nenda kwa amani dude! hahahahaa no hard feelings ila kumbuka mama mchungaji angenitoa kwenye kwaya!! Bishanga naona anataka nitengwe kabisa hadi kanisani.....lol!!
 

....aisee vipi kaka, nafuu kidogo?

usijisumbue na klorokwini wala aspirini...
acha mbu akujengee natural immune..sawa kaka?
ugua pole!

...back to topik!
unampa pole ya nini?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahahha lol mbu mbaya sana sometime sasa sijui unawakilisha zile tabia za mbu

Fact;
avatar1034_28.gif
Mosquitoes usually prefer to bite women over men.
 
Inatokana na interest ya mtu...mawazo au hata reflection ya alivyo.
Hata hizo za wababa unazosema ziko vuluvulu zina maana nyuma yake.

wanawake wako concerned sana na outlook, hiyo ndio dhahiri

ni wanaume wachache personality inatanguliwa na mwonekano
 
Back
Top Bottom