Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Sio kweli sio ya Netflix hajahusika na promotion kazi nzima imesimamiwa na kampuni ya miramaxNi movie ya Netflix mkuu. Huwezi ona mauzo. Sema movies za jamaa huwa na rate ya chini sana, ila hii iko juu sana.
Huyu chiba anaroho ngumu sanaMkuu kama FBI - Verona alimshuku Beekeeper - Clay kama si muuaji basi anajua kifo cha mamake, ndiyo maana kwenye mahojiano yule msaidizi wa verona alitaka kumfaham kiundani clay ila madam fbi akapotezea ni baada ya Clay kumueleza mchezo ulivyo.
View attachment 2894489
All to all hii ni bonge ya single movie ya kuendelezea mwaka huu 2024.
Ila huyu mlinzi wa tajiri ana roho ngumu sana kufa.
View attachment 2894490
Jamaa alikuwa anamfokea boss wake eti kwa nini fbi wameshindwa kumuua clay, akamwambia boss wake nakuletea clay akiwa hai au maiti.Huyu chiba anaroho ngumu sana
Watu tunaipata nkiri.comMovie nzuri sana hii jamaa kaupiga mwingi hapa na ndio movie pekee mpaka sasa inayo ongoza kwa mauzo na inashika number Moja pale box office
Mfano wa nyogeza pleaseMkuu huyu dada FBI - Verona alimshuku Beekeeper - Clay kama si muuaji basi anajua kifo cha mamake, ndiyo maana kwenye mahojiano yule msaidizi wa verona alitaka kumfaham kiundani clay ila madam fbi akapotezea ni baada ya Clay kumueleza mchezo ulivyo.
View attachment 2894489
All to all hii ni bonge ya single movie ya kuendelezea mwaka huu 2024.
Ila huyu mlinzi wa tajiri ana roho ngumu sana kufa.
View attachment 2894490
•Kuna maneno mengine hapo juu umeongeza yako ni hayapo kwenye movie, hata kama mtu hajui kizungu si kama ulivyoandika hapo juu ndg mhariri wa The Beekeeper.
kwann zinakua na rate za chini?Ni movie ya Netflix mkuu. Huwezi ona mauzo. Sema movies za jamaa huwa na rate ya chini sana, ila hii iko juu sana.
Mkuu uko njema,naweza kupata link kwaajili ya Movie kama THE MESSAGE MAN na THE COVENANT.
Atupe mawe wajuba tu downloadMkuu uko njema,naweza kupata link kwaajili ya Movie kama THE MESSAGE MAN na THE COVENANT.
Mkuu toa link za movie kama hivi tu download
Ni kwa sababu Netflix sio waliohusika kuitengeneza ila kwenye site za kudownload movie ipo hiyo
Mpaka wapewe hatimilikiMkuu, siyo kila movie iliyopo netflix ni lazima wawe wametengeneza wao.
Nkiri.comMkuu web gani hii? Ua help please