The Beekeeper (2024) Movie

The Beekeeper (2024) Movie

Mkuu huyu dada FBI - Verona alimshuku Beekeeper - Clay kama si muuaji basi anajua kifo cha mamake, ndiyo maana kwenye mahojiano yule msaidizi wa verona alitaka kumfaham kiundani clay ila madam fbi akapotezea ni baada ya Clay kumueleza mchezo ulivyo.
Screenshot_2024_0204_234115.jpg

All to all hii ni bonge ya single movie ya kuendelezea mwaka huu 2024.

Ila huyu mlinzi wa tajiri ana roho ngumu sana kufa.
Screenshot_2024_0204_233812.jpg

Kuna maneno mengine hapo juu umeongeza yako ni hayapo kwenye movie, hata kama mtu hajui kizungu si kama ulivyoandika hapo juu ndg mhariri wa The Beekeeper.
 
Mkuu kama FBI - Verona alimshuku Beekeeper - Clay kama si muuaji basi anajua kifo cha mamake, ndiyo maana kwenye mahojiano yule msaidizi wa verona alitaka kumfaham kiundani clay ila madam fbi akapotezea ni baada ya Clay kumueleza mchezo ulivyo.
View attachment 2894489
All to all hii ni bonge ya single movie ya kuendelezea mwaka huu 2024.

Ila huyu mlinzi wa tajiri ana roho ngumu sana kufa.
View attachment 2894490
Huyu chiba anaroho ngumu sana
 
Mkuu huyu dada FBI - Verona alimshuku Beekeeper - Clay kama si muuaji basi anajua kifo cha mamake, ndiyo maana kwenye mahojiano yule msaidizi wa verona alitaka kumfaham kiundani clay ila madam fbi akapotezea ni baada ya Clay kumueleza mchezo ulivyo.
View attachment 2894489
All to all hii ni bonge ya single movie ya kuendelezea mwaka huu 2024.

Ila huyu mlinzi wa tajiri ana roho ngumu sana kufa.
View attachment 2894490

Kuna maneno mengine hapo juu umeongeza yako ni hayapo kwenye movie, hata kama mtu hajui kizungu si kama ulivyoandika hapo juu ndg mhariri wa The Beekeeper.
Mfano wa nyogeza please
 
stori nzuri nimeipenda sema one man show we upite mpaka ufike kwa rais ktk namna ile kweli...😂
movie ni movie tu
 
Back
Top Bottom