Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Sio kweli sio ya Netflix hajahusika na promotion kazi nzima imesimamiwa na kampuni ya miramaxNi movie ya Netflix mkuu. Huwezi ona mauzo. Sema movies za jamaa huwa na rate ya chini sana, ila hii iko juu sana.