GeorgeWilson
Senior Member
- Jul 21, 2022
- 105
- 12
What was the best car you've ever driven? I'm curious, and in my case, it was Lamborghini Huracan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mine is Toyota BB,4wD🚶What was the best car you've ever driven? I'm curious, and in my case, it was Lamborghini Huracan.
BMW sports 320i, the best beast ever[emoji123]What was the best car you've ever driven? I'm curious, and in my case, it was Lamborghini Huracan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ilikuwa ni Range Rover Sport mwaka wa 2011
Nilikuwa muosha magari kwenye kampuni moja ya kukodisha Magari
Mteja akang'aka anataka apewe gari ina full tank na atarudisha ikiwa na full tank
Na ni mimi tu ndio nilikuwa na leseni, zari likaniangukia mimi
Na kituo cha mafuta enzi zile kilikuwa mbali na kazi
Aisee nilijidai sana kwenye mataa, kioo wazi wanione wote 😎
😄🤣😂ilikuwa ni Range Rover Sport mwaka wa 2011
Nilikuwa muosha magari kwenye kampuni moja ya kukodisha Magari
Mteja akang'aka anataka apewe gari ina full tank na atarudisha ikiwa na full tank
Na ni mimi tu ndio nilikuwa na leseni, zari likaniangukia mimi
Na kituo cha mafuta enzi zile kilikuwa mbali na kazi
Aisee nilijidai sana kwenye mataa, kioo wazi wanione wote 😎
View attachment 3019062
Mbona la kawaida sana. Binafsi naendesha Nissan X trail new model japo gari ya ndoto yangu ni Nissan Safari. Hiyo nitanunua wakati wa kustaafu kwangu.
Kila LA kheri mkuu, Muulize kaka yako Mshana au yeyote aliyetumia hizi ndinga atakupa majibu. Mimi nakaa kimya. I am not a fan kwenye Nissan mkuuMbona la kawaida sana. Binafsi naendesha Nissan X trail new model japo gari ya ndoto yangu ni Nissan Safari. Hiyo nitanunua wakati wa kustaafu kwangu.
View attachment 3019124
no rules