The best car you've driven

The best car you've driven

GeorgeWilson

Senior Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
105
Reaction score
12
What was the best car you've ever driven? I'm curious, and in my case, it was Lamborghini Huracan.
 
I'm really into cars, and I can say that not so long ago, I've decided to rent a car from Exotic Car Rentals Miami and get Ferrari California. It was the best experience for me, and I really want to check a few luxury cars again because it's definitely worth it, and people underestimate expensive cars a lot.
 
Dodge RAM and Dodge challenger few years back in UAE.
 
Hii....😜
 
Attachments

  • tapatalk_1521144929388.jpeg
    tapatalk_1521144929388.jpeg
    28.9 KB · Views: 14
ilikuwa ni Range Rover Sport mwaka wa 2011
Nilikuwa muosha magari kwenye kampuni moja ya kukodisha Magari
Mteja akang'aka anataka apewe gari ina full tank na atarudisha ikiwa na full tank
Na ni mimi tu ndio nilikuwa na leseni, zari likaniangukia mimi
Na kituo cha mafuta enzi zile kilikuwa mbali na kazi
Aisee nilijidai sana kwenye mataa, kioo wazi wanione wote 😎

1718573375626.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ilikuwa ni Range Rover Sport mwaka wa 2011
Nilikuwa muosha magari kwenye kampuni moja ya kukodisha Magari
Mteja akang'aka anataka apewe gari ina full tank na atarudisha ikiwa na full tank
Na ni mimi tu ndio nilikuwa na leseni, zari likaniangukia mimi
Na kituo cha mafuta enzi zile kilikuwa mbali na kazi
Aisee nilijidai sana kwenye mataa, kioo wazi wanione wote 😎

View attachment 3019062
😄🤣😂
 
mbona sioni wazee wa inakula mafuta kidogo😂😂
mm brevis, majesta, lx, lc100, bmw x6
za kugongea lakini
 
Mbona la kawaida sana. Binafsi naendesha Nissan X trail new model japo gari ya ndoto yangu ni Nissan Safari. Hiyo nitanunua wakati wa kustaafu kwangu.
View attachment 3019124
Kila LA kheri mkuu, Muulize kaka yako Mshana au yeyote aliyetumia hizi ndinga atakupa majibu. Mimi nakaa kimya. I am not a fan kwenye Nissan mkuu
FB_IMG_17181320202185810.jpg
 
Back
Top Bottom